4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Subutu, kama ndio , why mnaangaika, aridhi ya nchi imewakataa ccm, sasa jidanganye ,mtajua yesu ni BwanaChama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa kiwango cha kimataifa.
Tena mimi natamani sana Lissu, Heche na Lema ndio wawe viongozi wake ili watanzania waone ujinga wao, Msumbiji wamepiga kelele Rais anaapishwa, nyie mtafanya nn zaidi ya kuwalilia jumuiya ya kimataifa