CCM haina Makamu Mwenyekiti kwa miezi sita sasa

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo.

WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini tushabikie uongozi wa chama jirani wakati viongozi wetu wakuu wameshindwa kukaa wakayamaliza.
 
Hawajui kuwa huko ni kuziba employment opportunity Kwa watz wenye sifa.
 
Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo.

WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini tushabikie uongozi wa chama jirani wakati viongozi wetu wakuu wameshindwa kukaa wakayamaliza.
Usijali sana, chama kiko auto-pilot.
 
CCM is a dying party ni suala la muda tu!
 
Ningekuwa mm, nisingeruhusu mtu huyo anikaribie.
 
Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo.

WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini tushabikie uongozi wa chama jirani wakati viongozi wetu wakuu wameshindwa kukaa wakayamaliza.
Wanafiliri wampe yule mzanzibar lakini bado wanajiuliza uliza itakuaje
 
hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo.

Na pamoja ya Mwenyekiti wa CCM taifa kujitwika uongozi wa makamu Mwenyekiti CCM bara, chama kongwe dola kimekosa ushawishi hadi kuwapora wananchi nafasi yao ya kuchagua viongozi wanaoona wanafaa kuwaongoza katika nafasi za chini za ujumbe, wajumbe wa kamati ya mtaa, vitongoji ..TAMISEMI 2024

Chama cha CCM sasa kimemtwika mwenyekiti wao kuwa makamu Mwenyekiti bara, Mjumbe wa mitaa yote, uwenyekiti wa mitaa yote Tanganyika kupitia uchafuzi wa Uchaguzi wa 2024 TAMISEMI
 
Baada ya mkutano wa leo, chadema nao kiti cha makamu wa mweyekiti bara kiko wazi. Hawataweza tena kufanya kazi pamoja.
 
Back
Top Bottom