Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!.
Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?.
Akina Muliro na uongo wao ?.
Akina Makonda ? Mchengerwa ? Bashungwa ? Akina Abdul na Mama yake ?Akina Tulia? Akina Msukuma ?? Na wengineo.
Unajua mara baada ya CHADEMA Kuchukua Nchi
Walohusika Kwa LISSU, KITIMA, waote waliotekwa na kuuliwa, mambo yooooote yatawekwa Wazi na Kila MTU atalioa sawa na alichopanda , Kwa akili ya Kawaida HAWA WATU WAKO TAYARI KUFANYA LOLOTE LILE WABAKIE MADARAKANI.
Oneni Uhuni wa CCM kwenye Ilani, Wanachomekea Katiba, lakini hawajasema ,Litaanza lini na tutalihitimisha Lini.
KAMA CCM HUWA HAWATIMIZI WALA KUFUATA ILANI YAO KWENYE MAMBO MADOGOMADOGO, NI HABARI GANI KUHUSU KATIBA MPYA ILI WAONDOKE MADARAKAN??.
Yaan watu ambao wanaurafiki na Uchina, Urusi, Korea , Vyetinamu, Kyuba, waruhusu Katiba inayowaondoa??.
Mimi nimekataa kua Mjinga, CCM ni lazima ilazimishwe kutolewa madarakani, Kwa Muktadha huu ni LAZIMA TUZUIE UCHAGUZI MKUU 2025 KWA NAMNA YOYOTE TUTAKAYOWEZA ITUMIA.