CCM haitafuti maridhiano. Inatafuta acceptance kwenye society

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,740
Reaction score
11,976
“When you dance with the devil, the devil doesn’t change. You do.”

Kuna watu wanaua, wanaiba Dawa hospital, Wanaiba miradi ya Maji, wanakula hela za Halmashauri, wanapora haki mahakamani, wanapitisha sheria mbovu bungeni, wanateka, wanaiba bilions of money wanaficha kwenye magari, tuambiwe Waandamanaji wanaowapinga ni wabaya zaidi?

Mr mkiki
 
Tuwakatae ni wauwaji hao.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuzoea kuishi kwa ungo mbaya sana ndo kinakuta hii serikali r. i p. Magufuli hii inapesa sema wezi ndo maana alikua anafanya vitu watu wanashangaa Wananchi aliacha amewafungua akili Wamegoma kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom