CCM haitatamalaki katika utukufu tena

Umezeeka vibaya.Tume huru na katiba na jeshi vinaibeba ccm
 
Mmebaki kukariri ujinga huo miaka yote. Ibebwe kwa ajili ya nani? Lissu au Mbowe au Zitto?!!!!!!!🤭🤭🤭🤭🤭
Yaani Kuna mwenye uwezo wa kuitikisa ccm hata kidogo kweli hapo?!!!!!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Thanks …..Naamini kuna mazuri mengi yanakuja. Kama CCM’wanadhani tunatania waamini hivyo….. but kifo cha CCM hakipo mbali na Pua zoo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…