Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
100%Una hakika ccm ilishinda kwa haki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Una hakika ccm ilishinda kwa haki?
Umezeeka vibaya.Tume huru na katiba na jeshi vinaibeba ccmHabari ya asubuhi wanaJF.
Kwa umoja wetu naomba tumpe pole mleta mada, Kwakweli ccm inamtesa huyu mtu kuliko kitu chochote kile. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, punguza spidi hiyo Kuna wazee utawaua Huku.
Unahitaji 'F' Moja tu ya kiswahili au maarifa ya jamii kuelewa mateso makali ya mleta mada. Unahitaji 'A' 7 za physics, maths, chemistry, biology, geography, agriculture, BAM na book keeping Ili kuielewa mikakati ya ccm. Ikipungua hata Moja katika hizo, utaishia kubwabwaja bwabwaja tu.
Mmebaki kukariri ujinga huo miaka yote. Ibebwe kwa ajili ya nani? Lissu au Mbowe au Zitto?!!!!!!!🤭🤭🤭🤭🤭Umezeeka vibaya.Tume huru na katiba na jeshi vinaibeba ccm
Thanks …..Naamini kuna mazuri mengi yanakuja. Kama CCM’wanadhani tunatania waamini hivyo….. but kifo cha CCM hakipo mbali na Pua zooSikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa. Lakini tayari muda huu CHADEMA wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika..
Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CHADEMA!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha CCM hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
CHADEMA KIMEIFUTURU CCM BILA BISMILLAH..!
sucker punch 👌🏿View attachment 3202263