Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu ,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu .
Ccm imeshinda serikali za mitaa kwa 98%🤣😂😂😂🤣🤣😂😂Dada yangu nikiwaangalia Chadema ni kama watu waliorukwa na akili.
Ccm imeshinda serikali za mitaa kwa 98% sasa ije mitandaoni kutukanana na vichaa kutafuta nini?
General election Samia anakwenda kushinda kwa kura nyingi, japo siipendi ccm ila huo ndio ukweli wenyewe.
Kosa kubwa Chadema wamelifanya uchaguzi wao wa ndani kuwa mwaka huohuo na uchaguzi mkuu, damage itakayotokea hata kupata Wabunge ni issue, Urais wasahau kabisa.
Ccm ni master wa siasa, wanaweka uchaguzi wa serikali za mitaa kwanza kupima upepo, halafu ndio unakuja uchaguzi mkuu, wakimaliza kushija doka ndio wanakuja uchaguzi wa chama.
Ccm bado ipo sanaaa madarakani.
Ukiona mtu ambaye ameona kilichofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kisha anaisifia CCM kwa ushindi wa 99% ujue huyo ni juha kabisa.Ccm imeshinda serikali za mitaa kwa 98%🤣😂😂😂🤣🤣😂😂
Hata Dr Matola PhD ? 😂😂😂Ukiona mtu ambaye ameona kilichofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kisha anaisifia CCM kwa ushindi wa 99% ujue huyo ni juha kabisa.
Ndiye mwenyewe amejiweka kwenye daraja hilo. Haya mabilioni ya Abdul yamewatoa ufahamu sana wengiHata Dr Matola PhD ? 😂😂😂
uchuro mtupu, toaBaada ya tarehe 22 mtajikuta mnalia
Chadema ipo kaburini
Marehemu alikua mbishi sana
Hapa ndio unagundua chama pendwa kinachoheshimika na kupendwa hapa nchini ni kipi.Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa. Lakini tayari muda huu CHADEMA wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika..
Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CHADEMA!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha CCM hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
CHADEMA KIMEIFUTURU CCM BILA BISMILLAH..!
sucker punch 👌🏿View attachment 3202263
Mbowe akishinda kutakuwa na mpasuko mkubwa sana.Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa. Lakini tayari muda huu CHADEMA wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika..
Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CHADEMA!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha CCM hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
CHADEMA KIMEIFUTURU CCM BILA BISMILLAH..!
sucker punch 👌🏿View attachment 3202263
Leo kule Zanzibar wale wachezaji waliocheza Mapinduzi Cup kila mchezaji kalamba 10m.Mkuu Mshana Jr wale wana-ccm nguli na wasiopenda rushwa na figisu kama mzee Warioba, Butiku na wengine wanamwombea Lissu kila la heri....kwa manufaa mapana ya Taifa letu
chadema mpya chini ya lissu itagombea, uchaguzi wenyewe hufanyika mara moja katika kila baada ya miaka mitano. Akisusia uchaguzi ufanisi wake utapimwaje?Mbowe akishinda kutakuwa na mpasuko mkubwa sana.
Lissu akishinda pia na msimamo wake wa no reform no election, basi chama kisiposhiriki uchaguzi maana najua ccm hawatojali kama vyama vingine vitashiriki basi huenda ccm ikaipatia wabunge ACT wazalendo huku chadema ikiwa haina kitu. Hivyo ACT itageuka kuwa chama kikuu cha upinzani, ikiwa na wabunhe na ruzuku ya kufanyia siasa huku chadema kikiwa bila ruzuku na hoi.
Mwisho lissu atalaumiwa sana maana expectations vs reality.
Kasema no reform no election wewe unadhani ccm itafanya reform yoyote? Unless kama watabadili gear.chadema mpya chini ya lissu itagombea, uchaguzi wenyewe hufanyika mara moja katika kila baada ya miaka mitano. Akisusia uchaguzi ufanisi wake utapimwaje?
CCM kwa sasa tunajipanga kukabiliana na upinzani wa vile vyama 14 kwa sababu mpinzani mkuu CHADEMA kashaanguka.😂😂😂Inasikitisha mtu mzima kama wewe kujidanganya. Unaandika kujifariji kwa sababu unajua tayari chama chenu CHADEMA kimeshavurugika. CCM kwa sasa tunajipanga kukabiliana na upinzani wa vile vyama 14 kwa sababu mpinzani mkuu CHADEMA kashaanguka.