CCM haiwezi kushinikiza akina Halima Mdee waondoke na Ndugai kwa sababu Chadema bado haijasikiliza rufaa zao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika.

Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao.

Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job Ndugai hao wengine hawawahusu.

Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Hiyo namba (19) ipo hapo sio kimakosa.
Bila hiyo hamna bunge la vyama vingi!
Wakati wanapora uchaguzi agenda kubwa ilikuwa ni kuwatoa Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema bungeni , hawa wangeleta kiwingu kwenye atake asitake. Focus ya atake asitake ikawasahaulusha kuwa Bunge ni la vyama vingi.
 
Sema tu watanzania tuna matatizo..
Ingekuwa ni nchi ya watu wanaojielewa, Covid 19 walikua wamejizika kisiasa
 
Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika.

Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao.

Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job Ndugai hao wengine hawawahusu.

Au nasema uwongo ndugu zangu?

Na serikali pia inawaitaji wao wawe bungeni
 
1641370566293.png
 
Back
Top Bottom