Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi bwasheeeKwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika.
Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao.
Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job Ndugai hao wengine hawawahusu.
Au nasema uwongo ndugu zangu?
Chadema siyo mahakama ni chama cha siasa.Hivi kwa mfano mtu kahukumiwa na mahakama kifungo X halafu yule aliyehukumiwa na mahakama akakata rufaa, huaga adhabu yake inasubiri hadi rufaa itoke? Mbona vitu vingine rahisi sana kuvijua, havihitaji hata akili kubwa wala