johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakati wanapora uchaguzi agenda kubwa ilikuwa ni kuwatoa Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema bungeni , hawa wangeleta kiwingu kwenye atake asitake. Focus ya atake asitake ikawasahaulusha kuwa Bunge ni la vyama vingi.Hiyo namba (19) ipo hapo sio kimakosa.
Bila hiyo hamna bunge la vyama vingi!
Huku tumeshasameheana!mtajuana wenyewe huko.
Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema ndio cream ya Chadema?Wakati wanapora uchaguzi agenda kubwa ilikuwa ni kuwatoa Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema bungeni , hawa wangeleta kiwingu kwenye atake asitake. Focus ya atake asitake ikawasahaulusha kuwa Bunge ni la vyama vingi.
yes na msamaha utasomwa hapo Lumumba asubuhi hii.Huku tumeshasameheana!
Sema tu watanzania tuna matatizo..Wakati wanapora uchaguzi agenda kubwa ilikuwa ni kuwatoa Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema bungeni , hawa wangeleta kiwingu kwenye atake asitake. Focus ya atake asitake ikawasahaulusha kuwa Bunge ni la vyama vingi.
Cream ya Chadema si ni wewe maana kila baada ya dakika tano unaisnzisha uzi JF.Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema ndio cream ya Chadema?
Hahahaaaa......... Vimbelembele huwa hawakosi bwashee!yes na msamaha utasomwa hapo Lumumba asubuhi hii.
nyie ndiyo mnajiita nyuki wa mama??Hahahaaaa......... Vimbelembele huwa hawakosi bwashee!
Sisi ndio tulianzisha Chadema pale Kisutu majamatini kwa rip Ndesamburo!Cream ya Chadema si ni wewe maana kila baada ya dakika tano unaisnzisha uzi JF.
Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika.
Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao.
Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job Ndugai hao wengine hawawahusu.
Au nasema uwongo ndugu zangu?
Ufipa jiandaeni kupokea wagogo kutoka Kongwa!nyie ndiyo mnajiita nyuki wa mama??
hao kaeni mle nao viwavi jeshi hapo lumumba.Ufipa jiandaeni kupokea wagogo kutoka Kongwa!
Mtafungua tawi Kongwa na Kibaigwa!hao kaeni mle nao viwavi jeshi hapo lumumba.
Cream ni Majimbo,Kwa mtazamo wa waleMbowe, Sugu, Msigwa na Lema ndio cream ya Chadema?