CCM haiwezi kushinikiza akina Halima Mdee waondoke na Ndugai kwa sababu Chadema bado haijasikiliza rufaa zao!

Uko sahihi bwasheee
 
Ili swala kulikalia kimya naona kama cdm wanampango wa kusimama na watu hao uchaguzi hujao wa 2025 katika majimbo mbali mbali
 
Hivi kwa mfano mtu kahukumiwa na mahakama kifungo X halafu yule aliyehukumiwa na mahakama akakata rufaa, huaga adhabu yake inasubiri hadi rufaa itoke? Mbona vitu vingine rahisi sana kuvijua, havihitaji hata akili kubwa wala
 
Chadema siyo mahakama ni chama cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…