CCM hakijawanufaisha Watanzania, Viongozi wa Chama ndio wanaofaidi

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Hiki chama kipokipo tu mitaani, wilayani na hata serikalini lakini tuseme ukweli hakina faida kwa Wananchi wa Taifa hili la Tanzania kwa ujumla. Viongozi wa Chama hiki ndio wanaofaidi, kazi yao ni kutumbuana tu, kutumbuana kwao ni kama kifo haijulikani nani atakufa mwanzo au atatumbuliwa mwanzo.

Na akishakutmbuliwa ni kama anaambiwa sasa nenda katumie hela zako ulizochukua mapema,hatuoni kesi wala mahakama. Wananchi tunataka kuona aliyetumbuliwa kwa ubadhirifu anafikishwa kwenye vyombo vya sheria kama si hivyo basi linalofanyika ni uonevu tu.
 
Hiki chama kipokipo tu mitaani, wilayani na hata serikalini lakini tuseme ukweli hakina faida kwa Wananchi wa Taifa hili la Tanzania kwa ujumla. Viongozi wa Chama hiki ndio wanaofaidi ,kazi yao ni kutumbuana tu,kutumbuana kwao ni kama kifo haijulikani nani atakufa mwanzo au atatumbuliwa mwanzo.
Na akishakutmbuliwa ni kama anaambiwa sasa nenda katumie hela zako ulizochukua mapema,hatuoni kesi wala mahakama.
Wananchi tunataka kuona anetumbuliwa kwa ubadhirifu anafikishwa kwenye vyombo vya sheria kama si hivyo basi linalofanyika ni uonevu tu.
Badilisha kichwa cha somo hakina Afya sana kwa jamii ya JF.
 
Hiki chama kipokipo tu mitaani, wilayani na hata serikalini lakini tuseme ukweli hakina faida kwa Wananchi wa Taifa hili la Tanzania kwa ujumla. Viongozi wa Chama hiki ndio wanaofaidi, kazi yao ni kutumbuana tu, kutumbuana kwao ni kama kifo haijulikani nani atakufa mwanzo au atatumbuliwa mwanzo.

Na akishakutmbuliwa ni kama anaambiwa sasa nenda katumie hela zako ulizochukua mapema,hatuoni kesi wala mahakama. Wananchi tunataka kuona aliyetumbuliwa kwa ubadhirifu anafikishwa kwenye vyombo vya sheria kama si hivyo basi linalofanyika ni uonevu tu.
Hiki ni chama cha wezi wa nchi hii hi kwa vile tu wananchi wengi hawana utambuzi wa mambo.
 
Back
Top Bottom