We nawe!
Sio kwamba hapakaliki huku kwetu,no kwamba wale jamaa wameanza mambo yao,yaani zitatengenezwa timu nyingiiii,yaani timu Kanda ya ziwa,Kanda ya kati,Kanda ya pwani halafu na hiyo mkojani fc!!
Sasa bas wanataka wavuruganeee mwisho was siku utasikia "Mwenyekiti Hali ni mbaya ,Ili tuweke mambo sawa hebu Kaa pembeni Ili kuokoa chama""ndipo Kwa shingo upande atakubali yaishe!!!