Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Iwekwe tume huru kama utarudia Tena hiyo kauli yakoCCM itajipasua yenyewe ama Nguvu ya umma itaipasau CCM ila sio CHAMA PINZANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwekwe tume huru kama utarudia Tena hiyo kauli yakoCCM itajipasua yenyewe ama Nguvu ya umma itaipasau CCM ila sio CHAMA PINZANI
Hii nzito sana Mkuu!!We nawe!
Sio kwamba hapakaliki huku kwetu,no kwamba wale jamaa wameanza mambo yao,yaani zitatengenezwa timu nyingiiii,yaani timu Kanda ya ziwa,Kanda ya kati,Kanda ya pwani halafu na hiyo mkojani fc!!
Sasa bas wanataka wavuruganeee mwisho was siku utasikia "Mwenyekiti Hali ni mbaya ,Ili tuweke mambo sawa hebu Kaa pembeni Ili kuokoa chama""ndipo Kwa shingo upande atakubali yaishe!!!