CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

Mbona ni mambo ya kawaida hata Hussein Bashe alishinda kura za maoni Nzega 2010 wakati bado ni jimbo moja akakatwa wapili alikuwa Kigwangala ndio akapewa nafasi ya kushiriki uchaguzi. 2015 Nzega ilipogawanya ndio Bashe akapata Nzega mjini, Kigwangala Nzega vijijini.

Magu mropokaji tu na kupenda kujimwambafy kwenye kila kitu lakini utaratibu wa kukata watu ni kawaida sana sio ndani ya CCM tu, ni wa kidunia.

Bitter and divided –Shrewsbury Labour Party members at war just weeks before big vote

Labour candidate removed over anti-Semitism claims

Labour candidate deselected by 'kangaroo court'

Hata UK Labour Party wanautaratibu haswa kwenye safe seats mshindi kwenye kura ya maoni akiwa tia maji tia maji wanaweza kata kwenye NEC yao nakuweka mtu wao aliekitumikia chama makao makuu au wanae muamini zaidi.
 
wana CCM wanalilia matumboni mwao hawana pa kusemea.. walau Bernard kavunja ukimya.

Laiti kama tungekuwa na kina BM kama 20 hivi... Lakini kila mtu amefyata mkia anaogopa baada ya uchaguzi mkasi utakavyoa watu ambao hawakumuunga mkono mwenye mkasi.
 
Mbona ni mambo ya kawaida hata Hussein Bashe alishinda kura za maoni Nzega 2010 wakati bado ni jimbo moja akakatwa wapili alikuwa Kigwangala ndio akapewa nafasi ya kushiriki uchaguzi. 2015 Nzega ilipogawanya ndio Bashe akapata Nzega mjini, Kigwangala Nzega vijijini.

Magu mropokaji tu na kupenda kujimwambafy kwenye kila kitu lakini utaratibu wa kukata watu ni kawaida sana sio ndani ya CCM tu, ni wa kidunia.

Bitter and divided –Shrewsbury Labour Party members at war just weeks before big vote

Labour candidate removed over anti-Semitism claims

Labour candidate deselected by 'kangaroo court'

Hata UK Labour Party wanautaratibu haswa kwenye safe seats mshindi kwenye kura ya maoni akiwa tia maji tia maji wanaweza kata kwenye NEC yao nakuweka mtu wao aliekitumikia chama makao makuu au wanae muamini zaidi.
Ili alifanyi nasi kuiga ...mnapoelekea mtasema tuige na ushoga kwakua huko UK ,USA nk ni kitu cha kawaida
 
Tunafahamu ni utaratibu wa kawaida wala hakuna anayeshangaa hicho, hilo jambo huwa lina utaratibu wake unaofuatwa kabla jina kukatwa na lazima kuwe na madai yenye ushahidi yatakayojadiliwa na “watoa maamuzi kadhaa ndani ya chama” tunachoshangaa kumbe this time itategemea na “mood” ya mwenyekiti. We huoni hilo ni la ajabu na aibu kulisema tena hadharani?
 
Laiti kama tungekuwa na kina BM kama 20 hivi... Lakini kila mtu amefyata mkia anaogopa baada ya uchaguzi mkasi utakavyoa watu ambao hawakumuunga mkono mwenye mkasi.

Kwa maana halisi hakuna kamati kuu kwa sasa ila its one man decision.

Kwa hali hiyo natabiri yafuatayo wale wakongwe wajiengue mapema kabisa wale asilia waingie upinzani kwa nguvu zote , watawanyike kwenye majimbo yote na vijiji kufanya reforms kitakachotokea mtakuwa mmeweka mageuzi makubwa sana .

Lakini pia kwa kauli hiyo maana yake wabunge ni wale watakao pendwa na yeye wale wa ndio mzee.

Yaani leo ameeleza ukweli kabisa nadhani mmeelewa hatanii
 
Ili alifanyi nasi kuiga ...mnapoelekea mtasema tuige na ushoga kwakua huko UK ,USA nk ni kitu cha kawaida

Tunafahamu ni utaratibu wa kawaida wala hakuna anayeshangaa hicho, hilo jambo huwa lina utaratibu wake unaofuatwa kabla jina kukatwa na lazima kuwe na madai yenye ushahidi yatakayojadiliwa na “watoa maamuzi kadhaa ndani ya chama” tunachoshangaa kumbe this time itategemea na “mood” ya mwenyekiti. We huoni hilo ni la ajabu na aibu kulisema tena hadharani?

Kuna principles nyuma yake ndio maana watu wanakatwa inaweza kuwa misimamo ya wagombea aiendani na itikadi ya chama, inaweza kuwa chama akielewi source za mapato yao, uwezo wao mdogo kutokana na changamoto za jimbo (sio majimbo yote unaweka tia maji tia maji) etc sio kwamba wanajikatia kuna sababu.

Kwenye CCM ya Magu walioteuliwa wametakiwa kutojiingiza huko kama wanataka kubaki kwenye nafasi za uteuzi (awajuzuiliwa). Kumbuka tu asilimia kubwa ya Ma RC, RAS, DC, DAS wengi ni makapi walioshindwa kura za maoni 2015 au vijana CCM inawao wapika, hizo nafasi wamepewa kiupendeleo there are scores of qualified ppl who have been overlooked wanajikuta wanawafundisha kazi mabosi ambao walitakiwa kuwa chini.

As far as Magu is concerned he has done them a favour vinginevyo wangekuwa wanaunga unga kitaa, kwa hiyo watulie. Kama awataki sawa hila yeye atachukua nafasi awape wengine. Na akiamka vibaya atawakata ata huko CCM pengine kwa mtazamo wake ni ungretful individuals (hila nina uhakika due process zitafuatwa).
 
Kuna principles nyuma yake ndio maana watu wanakatwa inaweza kuwa misimamo ya wagombea aiendani na itikadi ya chama, inaweza kuwa chama akielewi source za mapato yao, uwezo wao mdogo kutokana na changamoto za jimbo (sio majimbo yote unaweka tia maji tia maji) etc sio kwamba wanajikatia kuna sababu.

Sasa kwenye uongozi wa CCM ya Magu walioteuliwa wametakiwa kutojiingiza huko kama wanataka kubaki kwenye nafasi za uteuzi. Kumbuka tu Ma RC, RAS, DC, DAS wengi ni makapi walioshindwa kura za maoni 2015 au vijana CCM inawao wapika, hizo nafasi wamepewa kiupendeleo there are scores of qualified ppl who have been overlooked wanajikuta wanawafundisha kazi mabosi ambao walitakiwa kuwa chini.

As far as Magu is concerned he has done them a favour vinginevyo wangekuwa wanaunga unga kitaa, kwa hiyo watulie. Kama awataki sawa hila yeye atachukua nafasi awape wengine. Na akiamka vibaya atawakata ata huko CCM kwa mtazamo ni ungretful individuals.
Asante mkuu.
Post hii aisome ndugu yangu Wakudadavuwa
 
Shetani hawezi kuzuia baraka za MUNGU kwa magufuli
umelipa heshima zaidi jina la "shetani" kwa kutumia capital letter kwenye herufi ya kwanza kuliko la "magufuli" ambalo kwa kutumia herufi ndogo ya kwanza unemaaanisha yeye ni kama kidude fulani tu hivi.

thia speaks volumes on what's actually going on in the sub-conscience of the majority of Tanzanians including wewe ndugu katika awamu hii!
 
Hata ukiandika kinyumenyume shetani Ni shetani tu maandishi hayabadilishi chochote, MUNGU mbariki magufuli
 
nilikuwa nakuonyesha tu kile nafsi na ubongo wako unakifikiria ambacho ni tofauti na tumbo lako linachodhani limekiandika.

hongera......ujumbe umekufikia wewe na wengine wenye akili kama hizo.
 
MUNGU mbariki magufuli
 
Demokrasia ndo kiini Cha umaskini sababu ziko wazi kabisa Kuna wakati tukisema tutumie uchaguzi tu kumpata mtu atakae tuongoza tutakwama kwa sababu wataochaguliwa wanaweza kuwa sio watu sahihi Ila ni hitaji la wengi kwaio kwa kuliona ilo kura za maoni zinaweza kukupa nafasi ya Kwanza lakini tathimini ya kina ikifanyika ukaonekana sio mtu sahihi utatolewa atawekwa mtu sahihi kwa MASLAHI mapana ya taifa letu. JPM 2020-2025
Nani anayetuamulia kuwa huyu ni sahihi na huyu siyo sahihi?
 
Halafu wao huwa wanasema Mbowe dikteta
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
 
Back
Top Bottom