CCM hali mbaya huko Kusini. Mgombea ubunge apiga magoti huko LIWALE akiomba kura

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi.

Hivi sasa anaomba tena nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia CCM.
Akiwa anaomba kura mbele ya Kassim Majaliwa ameona watu wako kiduchu na hawaelewi somo, ikabidi apige magoti kama anavyoonekana hapo pichani.


 
Kama mgombea wao wa urais slipigishwa magoti Njombe itakuwa huyu wa kupiga makofi bungeni??
 

Huyu alikuwa CUF anaitwa Kuchauka!
Kura za maoni alishindwa na Fadhili Mtambo lkn CCM ikamteua yy!
Kuchauka HAWEZI kushinda Liwale labda aibe kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…