Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Uungwana na jeuri na kiburi haviendani hata siku moja,kuweni wawazi ili hata mwonewe huruma.Maji yamefika kwa shingo Bado kiduchu kuyameza .Kupiga magoti ni uungwana na upendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uungwana na jeuri na kiburi haviendani hata siku moja,kuweni wawazi ili hata mwonewe huruma.Maji yamefika kwa shingo Bado kiduchu kuyameza .Kupiga magoti ni uungwana na upendo
Porojo za IGP zaanikwa
Porojo za IGP zaanikwa
Asanteeee. Ngoja nirekebishe mkuuHuyu alikuwa CUF anaitwa Kuchauka!
Kura za maoni alishindwa na Fadhili Mtambo lkn CCM ikamteua yy!
Kuchauka HAWEZI kushinda Liwale labda aibe kura
Porojo za IGP zaanikwa
Azuie Polisi wake wasipige Watu pindi watakapodai HAKI zao BarabaraniIGP anazuga kwakuwa boss bado yuko kazini. Lakini tar 28 jioni mida ya saa tatu usiku anaweza kumshangaza Boss wake wa zamani. Subirini mtaona.
Huenda mfalme alimaanisha kwamba wa mama weupe kwake hafurukutiChezea Karatu kuna wanawake weupe
Binadamu hapigiwi magoti, yupo mmoja tu ambaye kila goti litapigwa kwake naye ni Mungu Mwwnyezi pekee. Mnakufuru kwa Uzuzu wenu. Mlitiaminisha mnapendwa sana tukawaambia hakuna anayewapenda kwa mateso mliyowasababishia Watanzania.Kupiga magoti ni uungwana na upendo
Utamaduni wa kupiga magoti haujaanza wala kuisha leo!Kupiga magoti ni uungwana na upendo
Uongo wa bwana magufuli aumithilikiUSALITI NI LAANA.
Magufuli ni muongo sana anakopa fedha za miradi alafu anaanza kuwadanganya watanzania kuwa ni fedha zetu za ndani ,nchi ina hera sana
JAMAA NI MUONGO SANA
Ok. Bahati mbaya bunge la 2015 - 2020 lilikuwa gizani kwahiyo wabunge wapya walioingia kipindi hicho hata hatuwajui. Lkn sura yake na picha yake ndiyo hiyo hapo . Na amejitangaza mwenyewe hapo mkutanoni kwamba alikuwa chadema.
Nimalizie "Amelegea viungo vyote kama mlenda"Ameshalegea