CCM hali mbaya huko Kusini. Mgombea ubunge apiga magoti huko LIWALE akiomba kura

Huyu alikuwa CUF anaitwa Kuchauka!
Kura za maoni alishindwa na Fadhili Mtambo lkn CCM ikamteua yy!
Kuchauka HAWEZI kushinda Liwale labda aibe kura
Asanteeee. Ngoja nirekebishe mkuu
 
IGP anazuga kwakuwa boss bado yuko kazini. Lakini tar 28 jioni mida ya saa tatu usiku anaweza kumshangaza Boss wake wa zamani. Subirini mtaona.
Azuie Polisi wake wasipige Watu pindi watakapodai HAKI zao Barabarani
 
Kupiga magoti ni uungwana na upendo
Binadamu hapigiwi magoti, yupo mmoja tu ambaye kila goti litapigwa kwake naye ni Mungu Mwwnyezi pekee. Mnakufuru kwa Uzuzu wenu. Mlitiaminisha mnapendwa sana tukawaambia hakuna anayewapenda kwa mateso mliyowasababishia Watanzania.
 
Sexless,
..inawezekana ni Latifa Kigwalilo alikuwa viti maalum Cdm.

..alijiondoa Cdm wiki chache kabla bunge halijavunjwa.

..Bi.Latifa ni mtoto wa mbunge wa zamani wa ccm liwale anaitwa Hassan Chande Kigwalilo.

cc Malafyale
 
USALITI NI LAANA.

Magufuli ni muongo sana anakopa fedha za miradi alafu anaanza kuwadanganya watanzania kuwa ni fedha zetu za ndani ,nchi ina hera sana

JAMAA NI MUONGO SANA
Uongo wa bwana magufuli aumithiliki
 
Sexless,
..inawezekana ni Latifa Kigwalilo alikuwa viti maalum Cdm.

..alijiondoa Cdm wiki chache kabla bunge halijavunjwa.

..Bi.Latifa ni mtoto wa mbunge wa zamani wa ccm liwale anaitwa Hassan Chande Kigwalilo.

cc Malafyale
Ok. Bahati mbaya bunge la 2015 - 2020 lilikuwa gizani kwahiyo wabunge wapya walioingia kipindi hicho hata hatuwajui. Lkn sura yake na picha yake ndiyo hiyo hapo . Na amejitangaza mwenyewe hapo mkutanoni kwamba alikuwa chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…