CCM, Halotel na DP World wana lao

CCM, Halotel na DP World wana lao

Wangeweka sms ambayo inaweza kijibiwa ndio wengejua kama watu wanafurahia au vipi
 
Sitaki kuamini kuwa Ccm huo ndo mwisho wao wa kufikiri ila naamini mwisho wao umekaribia.

Kama hukubaliki hukubaliki tu
Hili la DP WORLD wapambe wako mama kuna muda watakuruka.
Sms hiyo ingetoka kwa Mbowe au Bagonze yangekuwa mengine sasa hivi ila kwa vile ni nyie poa tu, ila halotel wajitafakari kuidandia siasa.

Rais kemea mambo ya udini hata kifinafiki tu, kuliko kuwa kimya kama vile unakubaliana na hiyo hali muda unavyozidi kusonga kuna mengine hutoweza kujinasua au kuyakwepa!
 
Halotel ni mtandao wa maskini na watu wa vijijini.
Refer utafiti wa twaweza , CCM ina wenyewe ambao ni mambumbumbu na maskini.
Wewe hata kama una pesa na elimu ukiwa halotel CCM wanakuona mtu wao
 
Back
Top Bottom