VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Hawa ni wa kupigwa tu. watu wakipenda mini kabang usifikiri kuna siku watakuja kupigakumbuka hata uchaguzi mkuu mlisema hivyo mkapigwa tena juzi mmejitapa mkapigwa kata 24.
Chadema ni chama kinachozoea kushindwa
Tumieni wingi wenu Bunge la Katiba kadiri mnavyoweza. Chagueni Mwenyekiti mumtakaye. Mwisho wa sarakasi zenu upo. Tutawaadabisha katika KURA za kuidhinisha KATIBA na kura za 2015 kwa Katiba yoyote itakayotumika
tukisema huo uchaguzi tusaidiane kusimamia mna kuwa wakali kama mbogo.Bila wizi hamshindi katuChadema ni chama kinachozoea kushindwa
Kitu kimoja ambacho inaonekana mleta mada hukijui ni hiki, CCM ndo chama kinachoaminiwa zaidi kuliko vyama vyote vya siasa! watanzania wameamua kukipa ridhaa ya kuwaongoza, kwahiyo msimamo wa CCM ndio msimamo wa watanzania.