CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

Mimi natamani CCM watolewe madarakani, lakini kwa jinsi inavyocheza karata sioni hilo likitokea hivi karibuni. Hasa ukizingatia akili za watanzania.
 
ok.
 
Wapo wengi na kama kuna mtu anapinga hicho basi nae pigia mstari
 
Mimi natamani CCM watolewe madarakani, lakini kwa jinsi inavyocheza karata sioni hilo likitokea hivi karibuni. Hasa ukizingatia akili za watanzania.
CCM ipo Tanzania kwa miaka 100 ijayo.

Muulize Tlaatlaah atakwambia.

Wana mbinu za kila aina za kubaki madarakani.

Wana mahesabu ya kila rangi. They are absolutely unmatched.

Mbinu zinazotumika ukilinganisha na akili mgando za watanganyika, you can predict with a 100% accuracy that THEY ARE HERE TO STAY.
 
ni ngori
 
Kumbe kupinga ushoga ni lazima uwepo kwenye familia yako?

Wewe utakuwa umeshindwa kulinda mgongo wako
 
Sawa
 
Jamii ni kapu lenye mambo mengi. Na katika maisha hatupambani na umasikini tu, bali hata malezi na matatizo mengine ya kijamii. Ndio maana nchi kama Urusi, taasisi zote zinazochochea ushoga, zimekuwa labeled kama taasisi za kigaidi. Why,?, kwao wanaamini Homosexuality is against continuity of humanity kama ilivyo ugaidi wa kina Osama. So, jamii ni mambo mengi na kila tatizo lina uzito wake.
 
Nimebubujikwa na machozi πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…