CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi

 
Shaka hawezi kuwa na taarifa rasmi kwa kuwa chama kilikuwa kilitekwa na dikteta Magufuli na alikuwa na uwezo wa kuamua na kufanya cho chote bila halmashauri kuu wala kamati kuu ya CCM kujua! Na hata kama wangejua wasingeweza kumzuia!

CCM ilikuwa mali ya Magufuli!
 
WATANZANIA sio Wajinga UNAKATAA kwa kuwa MAGUFULI KAFA Muulize BASHIRU ALLY Anajua Kazi ya Mbatia ndani ya CCM

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hii ngoma umechezwa kwa ustadi fulani hivi

na wale Wazee wa kukurupuka kama kawaida yao wamekurupuka na wameshachukua upande
 
Kumekucha
 
Wakubwa wake wanajua mkataba wa CCM na Mbatia na ndio sababu wanamnyang’anya NCCR kwa kukiuka kwake mikataba. CCM iliwapa NCCR Magari kama mnakumbuka, mama Tanzania anavuna alichopanda
 
Amemwuliza Bashiru na Polepole, au anaongea tu,
Wakati huo si alikuwa ametimuliwa na JPM kwa rushwa Moro,
 
Wakubwa wake wanajua mkataba wa CCM na Mbatia na ndio sababu wanamnyang’anya NCCR kwa kukiuka kwake mikataba. CCM iliwapa NCCR Magari kama mnakumbuka, mama Tanzania anavuna alichopanda
Namtakia mama Tanzania mavuno mema yenye baraka za Lumuumba,
 
Mta jiju. Kwani wewe Shaka uta juaje wakati ulikuwa bench kwa kesi ya rushwa za uchaguzi ndani ya chama?
Bashiru ajibu hili kama ata thubutu
 
Your browser is not able to display this video.

Msikie hapo Selasini, siyo unakanusha tu wewe Shaka Mzee wa Calorite
 
Chuma,
 
Wenye akili tayari washaeshaelewa.....
mambo yameshaanza... kuwa wale 19 wa chadema wakashindwa kesi ilikuwa wahamie kwa mbatia ..
Sasa hawataweza maana tayari selasini ashawasha moto na kwa zito hawawezi kwenda.......
 

Hakutumika na Ccm bali alitumika na dhalimu wa chattle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…