CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi

View attachment 2240911
ILA MH MBATIA ALIHAKIKISHIWA ULINZI KULE MBEYA NA KUPOKELEWA KWA HESHIMA.HAYA MENGINE NACHUKULIA KAMA TETESI.
 
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi

View attachment 2240911
Tangu lini jasusi akakubaliwa na waliomtuma
 
Shaka hajui kitu kipindi cha manunuzi yeye alikuwa kihonda moro akisubiria sakata lake la kusimamishwa kwa tuhuma za rushwa hayo mambo wamuulize afisa manunuzi slowslow
 
Back
Top Bottom