kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Nimemsikiliza huyu mwandishi WA habari kwenye moja ya mahojiano yake anasema kwa hali iliyofikia CCM kwa sasa haiwezi kufanya mageuzi kwa sababu sio tena chama cha kisiasa
Imejiambatanisha na tasisi za kidora kama vile mahakama polisi usalama WA Taifa Jeshi la wananchi nk kwahiyo ni ngumu kuitenganisha CCM na tasisi hizo.Wadau mnasemaje
Imejiambatanisha na tasisi za kidora kama vile mahakama polisi usalama WA Taifa Jeshi la wananchi nk kwahiyo ni ngumu kuitenganisha CCM na tasisi hizo.Wadau mnasemaje