CCM hii ni zaidi ya dharau

CCM hii ni zaidi ya dharau

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Wanavyoswagwa kwenye makenta kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani kuuzwa vile!![emoji81]

Wakati mgeni rasmi anakuja na msafara wa ma V8 new model[emoji28][emoji28]


IMG_20230918_205302.jpeg
 
Mkuu hapo hata ajali ikitokea hiyo elfu kumi haitasaidia hata kununua sanda[emoji23][emoji23]
Kweli lakini hao sio machizi ni watu wenye akili timamu na wanamajukumu ndio maana wakaona ni NgumU kutembea kwa mguu Bora wapande hilo zagalo
 
Back
Top Bottom