CCM hujikosoa na kujisahihisha kulingana na Nyakati:- Mwenezi Makonda

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA

"CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati tofauti na kinakuja na mbinu mpya, ndio maana kitaendelea kuwa madarakani."

Ndugu Paul Makonda, Viwanja vya Ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.

Mkutano wa Hadhara wa Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, 12 Novemba 2023.

#CCMImara
#kaziinaendelea๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Machadema bado yanamg'ang'ania Mbowe na Lissu hadi leo hii๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Chama ambacho kinategemea JWTZ,FFU,WALIMU hakina hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ