Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jun 7, 2023 #1 Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika. Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi kujiimarisha ili muda ukifika watumie haya malumbano yao ili waiwajibishe CCM. Your browser is not able to display this video.
Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika. Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi kujiimarisha ili muda ukifika watumie haya malumbano yao ili waiwajibishe CCM. Your browser is not able to display this video.
Mnada wa Mhunze Senior Member Joined Mar 1, 2023 Posts 168 Reaction score 819 Jun 7, 2023 #2 Unaijua ccm vizuri ama unajiandikia tu! Huyo atanyanazishwa kwa njia zozote za halali na haramu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jun 7, 2023 Thread starter #3 Mnada wa Mhunze said: Unaijua ccm vizuri ama unajiandikia tu! Huyo atanyanazishwa kwa njia zozote za halali na haramu Click to expand... Kwahiyo wewe unapongeza hiyo njia haramu?
Mnada wa Mhunze said: Unaijua ccm vizuri ama unajiandikia tu! Huyo atanyanazishwa kwa njia zozote za halali na haramu Click to expand... Kwahiyo wewe unapongeza hiyo njia haramu?
kitonsa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 1,211 Reaction score 2,649 Jun 7, 2023 #4 HARAMU YA CCM KARIBU INATOKEA PUANI.,waalifu lazima wagombane
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jun 7, 2023 Thread starter #5 kitonsa said: HARAMU YA CCM KARIBU INATOKEA PUANI.,waalifu lazima wagombane Click to expand... Ni wakati muafaka sasa kuanza kujipanga kwa wapinzani
kitonsa said: HARAMU YA CCM KARIBU INATOKEA PUANI.,waalifu lazima wagombane Click to expand... Ni wakati muafaka sasa kuanza kujipanga kwa wapinzani
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Jun 7, 2023 #6 π€π€π€π€π€π€π€
kitonsa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 1,211 Reaction score 2,649 Jun 7, 2023 #7 Mmawia said: Ni wakati muafaka sasa kuanza kujipanga kwa wapinzani Click to expand... ukiacha kila mtu aibe halafu mnateteana bila kufata katiba haya ndio matokea yake...ISHARA ZIMEANZA
Mmawia said: Ni wakati muafaka sasa kuanza kujipanga kwa wapinzani Click to expand... ukiacha kila mtu aibe halafu mnateteana bila kufata katiba haya ndio matokea yake...ISHARA ZIMEANZA