Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani.
History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi kinajua hilo, kuwasaulisha wananchi kwa kuwanyima haki zao za msingi wa kuwa huru ni kufukia kichwa kwenye mchanga Huku umeacha mwili wazi.
Case study hapa kwetu Tanzania ni pale chama kimoja kinajiita ni chama cha tawala kuondoa mianya yote ya wananchi wake kuwa na hali ya kuwa na maisha bora na kudhani chama kimoja kina kila haki ya kuwa madarakani iwe kwa kuvunja haki za msingi bila kujali.
Ikiwemo kumaliza democracy Ikiwemo kuandamana na kuelezea yale ambayo wanaona inabidi wayaelezee kwa watawala ni dhambi kusikia upande wa pili au tatu.
Tuelewe kuwa Putin amekuwa madarakani kupitia mlango wa hila kwa kupandikiza migogoro akitumia taaluma yake ya ujasusi lakini kila mwanzo una mwisho, na mara nyingi mwisho wake unakuwa siyo mwema.
Hizi Salamu zinatolewa kwa serikali zote zinazo fikiria kuwa watawala wako juu ya sheria.
Naomba watawala wetu wajue dhuruma wanazotaka kufanya kwa wananchi wake hii dhambi haisauriki kizazi chote. Na ni lazima malipo yake yapo hapa duniani, kama siyo wao ni kizazi chao cha dhuruma. Kila nafsi itaonja mauti.