Ccm sio baba wa vyama vyote, sema ni chama kikongwe kuliko vyote hapa nchini kwa sasa. Ccm ni baba wa baadhi ya vyama, na huwa vinajitokeza wakati wa uchaguzi, ama wakati ccm inapitia misikosuko kwa kazi maalumu, hasa ya upotoshaji. Hakuna chama makini kinaiiga ccm, ukiona chama kinaiiga ccm ujue hicho sio chama. Chama kinaweza kufanya mambo yake na yakafanana na ya ccm, lakini sio kwa kuwaiga.