CCM ikiwa kama Chama Tawala, kitaruhusu Wakurugenzi waliochafua Uchaguzi 2020 kuendelea kusimamia Uchaguzi 2025

CCM ikiwa kama Chama Tawala, kitaruhusu Wakurugenzi waliochafua Uchaguzi 2020 kuendelea kusimamia Uchaguzi 2025

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wengi mlishuhudia vituko vilivyofanywa na Wakurugenzi wakati wa Uchaguzi 2020. Vitendo vya Mkurugenzi wa Ubungo havinitoki kichwani. Kama tumeamua kuwa nchi ya Vyama Vingi. CCM inategemea tutakua na imani na Wakurugenzi wale kusimamia Uchaguzi 2025?

Maana tumeshaambiwa katiba mpya si kipaumbele kwa sasa.
 
Kwajinsi walivyopiga kazi nzuri natumaini wataendelea.
 
Back
Top Bottom