Wengi mlishuhudia vituko vilivyofanywa na Wakurugenzi wakati wa Uchaguzi 2020. Vitendo vya Mkurugenzi wa Ubungo havinitoki kichwani. Kama tumeamua kuwa nchi ya Vyama Vingi. CCM inategemea tutakua na imani na Wakurugenzi wale kusimamia Uchaguzi 2025?
Maana tumeshaambiwa katiba mpya si kipaumbele kwa sasa.