Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
CCM ndiyo chama chetu kinachotuelekeza kwenye dira ya kisiasa nchini, tukiweka maanani matamanio ya wananchi waliowengi.
Hadi sasa ndimi za watu wengi hazijapumzika kuzungumzia suala la Bandari na DP World.
Leo nimekutana na rafiki yangu, kada, wa siku nyingi, na amewahi kuwa mbunge wa CCM jimbo fulani.
Kanieleza kuwa kwa heshima yake hawezi kupanda jukwaani kutetea mkataba wa DP World.
Hili nimenigutusha.
Makada wa CCM wengi hawaridhiki na huu mkataba.
Inaelekea CCM iko kwenye autopilot, inakoelekea hsta marubsni hawajui lakini wanacho sema "tunaelekea kuleeee...!"
DP World na siasa ya kujitegemea, wapi na wapi!