Pre GE2025 CCM iko mtaani CHADEMA iko mtandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Aiseee CCM ni wakongwe ndio maana wao wako busy mitaani kusajili wapiga kura wapya na wanachama wapya mitaani.

Lakini CHADEMA wamejikita kwenye mitandao tu kuangalia linalotrend wapinge au watoe maoni. Kwa hali hii CCM itabaki milele na mtindo wa kupata wanachama ukiwabeba vizazi na vizazi.

CHADEMA badilikeni
 
CCM NI CHAMA BORA KWA HAPA TANZANIA , HAKUNA CHAMA KITAKUJA KUFUTA HISTORIA BORA YA HIKI CHAMA. mimi ni shahidi wa kusema kuwa CCM itabaki sana milele, CHADEMA ni chama cha TWITTER , nawaonea huruma sana .


MAMA SAMIA MITANO TENA .

Adam Ekingo iamwangdamin
Mjumbe CCM , KIVUKONI ILALA
 
Umemsikia alivyosema? Kmwambie nape
 
Weka namba ya Simu ewe chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…