Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Msingi uliopo kwenye nadhalia zaidi kuliko matendo..!!Kujikosoa kama Chama ndio msingi mkuu wa CCM
Kuna tofauti kati ya kujikosoa na kujikosha... πππKujikosoa kama Chama ndio msingi mkuu wa CCM
Utawala usio na usikivu?Ukimsikiliza Samia Suluhu Hassan anaponadi Ahadi zake, unaweza kudhani anayoyasema leo kuwa atayatekeleza alishindwa kuyatekeleza kwa kuwa CCM iliyokuwa inaongoza nchi ilimkatalia.
Lakini ukitafakari kwa makini unagundua hiyo CCM ya miaka minne iliyopita ilikuwa inaongozwa na yeye na pia ndiye aliyekuwa Rais.
Huko majimboni wagombea ubunge na udiwani wanatoa ahadi za kujiapiza na kujimaliza utadhani kwenye majimbo wanayogombea wabunge na mafiwani walikuwa siyo wa chama chao.
Mwisho wa siku unagundua kumbe CCM inayotaka kuingia madarakani, ndiyo CCM ileile inayotaka kutolewa madarakani.
Watanzania wanashiriki kwenye maigizo ya kiwango duni sana lakini yanayokuzwa na Ombe la kutokuwepo kwa uchaguzi HALISI.
TunajisahihishaπUkimsikiliza Samia Suluhu Hassan anaponadi Ahadi zake, unaweza kudhani anayoyasema leo kuwa atayatekeleza alishindwa kuyatekeleza kwa kuwa CCM iliyokuwa inaongoza nchi ilimkatalia.
Lakini ukitafakari kwa makini unagundua hiyo CCM ya miaka minne iliyopita ilikuwa inaongozwa na yeye na pia ndiye aliyekuwa Rais.
Huko majimboni wagombea ubunge na udiwani wanatoa ahadi za kujiapiza na kujimaliza utadhani kwenye majimbo wanayogombea wabunge na mafiwani walikuwa siyo wa chama chao.
Mwisho wa siku unagundua kumbe CCM inayotaka kuingia madarakani, ndiyo CCM ileile inayotaka kutolewa madarakani.
Watanzania wanashiriki kwenye maigizo ya kiwango duni sana lakini yanayokuzwa na Ombe la kutokuwepo kwa uchaguzi HALISI.
Unapingana na Hoja iliyopo mezani πMsingi uliopo kwenye nadhalia zaidi kuliko matendo..!!
Masahihisho ni kuacha mambo mabaya na kutenda mema. Kuongeza ubaya juu ya ubaya siyo kujisahihisha.Tunajisahihishaπ
Hamfai hata kujisahihisha,yapaswa mufutiwe hata usajili wa hilo lichama.Tunajisahihishaπ
Kabla ya kujisahihisha, lazima useme ulikosea wapi panapohitaji kujisahihisha..!!!Tunajisahihishaπ
Tatizo wanaekti kama hawajuani.... Ndiyo maana jamaa yao anawaambia mwaka huu ulikuwa wa kumwaga Oil.Ni ccm mbili tofauti hizo, kuna ccm inayonadi sera zake inataka kushika Dola na ccm Ile inayomaliza muda wake. Hao ni watu wawili tofauti ndio maana wanatindinganya mambo, wanabagazana na kubananganaπ
Wewe unaamini nyumbani kwa Nyerere Unaweza ukaenda na kuanza kutukana na wanausalama wanakuangalia tu hadi Nyerere anakuja kwa nyuma? ππKuna tofauti kati ya kujikosoa na kujikosha... πππ
Polepole kama keshamtaja rafiki yako Stephen... Iko siku atakutaja na wewe!!!
TUTIKI tutaacha ubaya woteMasahihisho ni kuacha mambo mabaya na kutenda mema. Kuongeza ubaya juu ya ubaya siyo kujisahihisha.
Inawezekana maana huyu rafiki yako si mlikuwa mnamwita "Tyson" jina la kisela kabisaππWewe unaamini nyumbani kwa Nyerere Unaweza ukaenda na kuanza kutukana na wanausalama wanakuangalia tu hadi Nyerere anakuja kwa nyuma? ππ
Labda nyumbani kwa Joseph Nyerere pale mwananyamala hospitali au pale Komakoma kwa Makongoro lakini siyo Msasani wala Mwitongo bwashee ππ
Mbadala wake kije chama gani?Hamfai hata kujisahihisha,yapaswa mufutiwe hata usajili wa hilo lichama.
Tikitiki ni mchezo wa kitoto... Lakini kutiki ni alama ya tafakuri na uchambuzi yakinifu huku ukifanya ulinganisho ili uamue kimantiki na kwa busara....TUTIKI tutaacha ubaya wote
Makosa yetu yapo katika AHADI ZETU NDANI YA SIKU 100.Kabla ya kujisahihisha, lazima useme ulikosea wapi panapohitaji kujisahihisha..!!!
Unatumia kigezo kipi kujua hicho chama mbadala kina tofauti na CCM?Mbadala wake kije chama gani?