okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Utaweka TIKI hauweki?Tikitiki ni mchezo wa kitoto... Lakini kutiki ni alama ya tafakuri na uchambuzi yakinifu huku ukifanya ulinganisho ili uamue kimantiki na kwa busara....
Utaweka TIKI hauweki?Tikitiki ni mchezo wa kitoto... Lakini kutiki ni alama ya tafakuri na uchambuzi yakinifu huku ukifanya ulinganisho ili uamue kimantiki na kwa busara....
👊👊✍️✍️✍️✍️Unatumia kigezo kipi kujua hicho chama mbadala kina tofauti na CCM?
Unajikosoa hata unapokuwa ukiamini haujakosea?CCMhaijawahi kukiri kukosa chochote tangia 1992 na pia wametekeleza,Iweje sasa unakuja na spinning ya kujikosoa!Kujikosoa kama Chama ndio msingi mkuu wa CCM
Hii ndio maana halisi ya ule msemo "....ukistaajabu ya Musa..." Simba kumla simba mwenzake...Ukimsikiliza Samia Suluhu Hassan anaponadi Ahadi zake, unaweza kudhani anayoyasema leo kuwa atayatekeleza atakapotangazwa mshindi, labda alishindwa kuyatekeleza kwa kuwa CCM iliyokuwa inaongoza nchi ilimkatalia.
Lakini ukitafakari kwa makini unagundua hiyo CCM ya miaka minne iliyopita ilikuwa inaongozwa na yeye na pia ndiye aliyekuwa Rais.
Huko majimboni wagombea ubunge na udiwani wanatoa ahadi za kujiapiza na kujimaliza utadhani kwenye majimbo wanayogombea wabunge na mafiwani walikuwa siyo wa chama chao.
Mwisho wa siku unagundua kumbe CCM inayotaka kuingia madarakani, ndiyo CCM ileile inayotaka kutolewa madarakani.
Watanzania wanashiriki kwenye maigizo ya kiwango duni sana lakini yanayokuzwa na Ombe la kutokuwepo kwa uchaguzi HALISI.
Cha ajabu ni mwajuma kumshangaa mwajuma kwa nini mwajuma anaishi maisha ya kimwajuma😃😄😆Awamu mpya ndani ya ccm inaiona awamu inayoisha kama haikujali watu inawaongoza.
Polepole ana hoja sana... Maridhiano ni kabla ya uchaguzi na siyo baada ya uchaguzi!KAMPENI ZA SAMIA HAZINA MVUTO KABISA HATA KIDOGO.NI BORA TU WANGEJITANGAZA KUWA RAIS ILI KUOKOA FEDHA KWA KUWA WAPINZANI WA UKWELI WAMEWAFUNGA KWA KUHOFIA KUSHINDWA.