GE2025 CCM iliyopo madarakani inaikosoa CCM iliyopo madarakani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii ndio maana halisi ya ule msemo "....ukistaajabu ya Musa..." Simba kumla simba mwenzake...
 
KAMPENI ZA SAMIA HAZINA MVUTO KABISA HATA KIDOGO.NI BORA TU WANGEJITANGAZA KUWA RAIS ILI KUOKOA FEDHA KWA KUWA WAPINZANI WA UKWELI WAMEWAFUNGA KWA KUHOFIA KUSHINDWA.
 
Unabii unatimia
Bado ya isipokuwa makini itaangamia (hii ni option waliokuwa nayo)
 
KAMPENI ZA SAMIA HAZINA MVUTO KABISA HATA KIDOGO.NI BORA TU WANGEJITANGAZA KUWA RAIS ILI KUOKOA FEDHA KWA KUWA WAPINZANI WA UKWELI WAMEWAFUNGA KWA KUHOFIA KUSHINDWA.
Polepole ana hoja sana... Maridhiano ni kabla ya uchaguzi na siyo baada ya uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…