johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msingekuwa mnavihujumu wangekuwa wanabadili sana tu.88
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Halafu wanataka wapewe nchi si ndo wakiingia tu madarakani wanabadili katiba watawale milele.Nchi kama Marekani ukishindwa kukipeleka chama chako ikulu mara 2 unapigwa chini,
Hapa kwetu kina Mbowe wamekomaa tu tena wanaambiwa wakitoka chama kitakufa.
Bila shaka hawatakufa.
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Uwenyeviti wa ccm unaendana pamoja na serikali inamaana anapomaliza kuongoza serikali ndio mwisho wa umwenyekiti wake automatically hawachaguliwi kabisa labda watenganishe chama na serikali kua na kofia mbili kwahiyo ccm haichaguwi mwenyekiti anapatikana kulingana na uraisi aloupata mwisho hapo ukija chadema mwenyeki wao anapatikana kidemokrasia maana uwa wanashindana mwenye kura nyingi ndio uwa mwenyekiti nafikili utakua umenielewa kiongozi au sioKama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Huna hoja kwasababu ccm haijawahi kufanya uchaguzi wa mwenyekiti.Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Lazima mtu awe na Title ya kuvimbia Mjini.Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Kwani nawe muua vyama.Nchi kama Marekani ukishindwa kukipeleka chama chako ikulu mara 2 unapigwa chini,
Hapa kwetu kina Mbowe wamekomaa tu tena wanaambiwa wakitoka chama kitakufa.
Bila shaka hawatakufa.
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Kwa CDM mtu yeyote akionesha nia ya kugombea na akiwa tishio kwa mwamba lazima apigwe zengwe moja matata sana, kuna jeshi mwamba kalitengeneza kudeal na mtu yeyote tishio atayetaka uenyekiti wake. Huyo Lissu anayesifiwa kila siku akiutaka uenyekiti tu hapo ndiyo utakuwa mwisho wake ndani ya chama, akina Yericko, Boniface, Lema etc watampa kila aina ya majina.Uwenyeviti wa ccm unaendana pamoja na serikali inamaana anapomaliza kuongoza serikali ndio mwisho wa umwenyekiti wake automatically hawachaguliwi kabisa labda watenganishe chama na serikali kua na kofia mbili kwahiyo ccm haichaguwi mwenyekiti anapatikana kulingana na uraisi aloupata mwisho hapo ukija chadema mwenyeki wao anapatikana kidemokrasia maana uwa wanashindana mwenye kura nyingi ndio uwa mwenyekiti nafikili utakua umenielewa kiongozi au sio
Hapana sikubaliani na hoja zako kwanini usiseme ndio mpinzani wa kweli katika siasa zetu za tanzania kwanini usiseme ndie anaye isumbua dolla ya tanzania badala yake useme anavijana wakutukana wapinzani wake ndani ya chama?Kwa CDM mtu yeyote akionesha nia ya kugombea na akiwa tishio kwa mwamba lazima apigwe zengwe moja matata sana, kuna jeshi mwamba kalitengeneza kudeal na mtu yeyote tishio atayetaka uenyekiti wake. Huyo Lissu anayesifiwa kila siku akiutaka uenyekiti tu hapo ndiyo utakuwa mwisho wake ndani ya chama, akina Yericko, Boniface, Lema etc watampa kila aina ya majina.
Una uhakika gani kwamba ndiye mpinzani wa kweli? Maneno yake ya jukwaani? Dk. Slaa alivunjwa hadi mkono na hao CCM, lakini mwishoni amegundulika alikuwa kwenye payroll ya CCM kitambo sana (Mabalozi wengi/wote ni wanakitengo), Kwa nini isiwe kwa mwamba pia?Hapana sikubaliani na hoja zako kwanini usiseme ndio mpinzani wa kweli katika siasa zetu za tanzania kwanini usiseme ndie anaye isumbua dolla ya tanzania badala yake useme anavijana wakutukana wapinzani wake ndani ya chama?