CCM imebadilisha wenyeviti mara 4 lakini wenzao CUF na Chadema wako wale wale Prof Lipumba na Mbowe

Tofauti ni kwamba CCM hakuna uchaguzi wakati CHADEMA kuna uchaguzi.

Wewe hushangai tangu 1977 ni CCM tu ndiyo inaongoza Tanzania. Kwa nini isitoke vyama vingine vitawale!??

Hao wenyeviti wanne kuna ambaye si Rais. Ina maana Ili uwe na sifa ya kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa ni LAZIMA uwe Rais!!??
 
Kwa upande wangu:
1. Hakuna chama kinachoweza kutumiwa kama kipimo cha vyama vingine vya siasa.
2. Siyo lazima vyama vingine vifuate utaratibu wa CCM.
3. Kila chama kina utaratibu wake wa kujijenga na kwa namna inavyoona inafaa kwa wakati huo.
4. Kila chama kina 'strengths' za kuigwa and 'weaknesses' za kuepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…