Uchaguzi 2020 CCM imebaki na mkoa wa Dodoma tu kama ngome yake huku ikiwa imepoteza kanda zote

Endelea kujifurahisha hata wakati wa Lowassa ulikuwa una bwabwaja hivyo tu! Jiandaa kwa stress!
 

Kwanza ni kujuze tuu kuwa chadema haijawai kushinda hata mkoa mmoja na haitokuja kushinda! Maana kama kigezo ni kujaza watu basi CCM ndio inaogoza kujaza watu!

Lingine unatakiwa kujua kuwa Tundu Lissu kamwe hatoshinda kwa ujumla wa kura zote hata mkoa mmoja!

Ukweli ni kwamba chadema hawana ngome yotote maana takwimu zinaonesha chadema hawajawai kushinda mkoa wowote kwa ujumla wa kura!

Ukweli ni kwamba Tundu Lissu na chadema hawatoshinda mkoa wowote kwa ujumla wa kura...Hivyo basi mikoa yote Tanzania bado ni ngome za CCM
 
Kiufupi tambua ya kwamba..JPM atapata 90% ya kura zote katika mikoa ya Mwanza, Dodoma,Geita, Shinyanga, Simiyu na Tabora.

Pia atapata 75% katika mikoa mingine yote,mnadanganywa na picha za watu hasa wavuta bangi mijini ambao hata siku ya kupiga kura wao wamelewa,wapiga kura wa kweli na wasio sema chochote wako majumbani na 85% wako nje ya mji,hawajui Twitter wala JamiiForum na youtube ndo mdudu gani

Usipo amini utajijua mwenyewe
 
Kama kawaida bavicha na tathmini zao za kiduanzi.. Tukutane hapa baada ya matokeo japo mlivo wazuri wa kuhamisha magori mtasema mmeibiwa kura
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Dodoma mjini hawamtaki meko sema ndio hivyo kura zitahamishwa,huko wilayani wao wanaasili ya ombaomba kwahiyo ukiwapikia ugali wanakuchagua
 
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
Msamehe bure engine imepata moto muda wowote piston inaweza kuchomoka
 

Labda mkawakate mikono umati wote huo utakao chagua ccm. Kila mkoa kila wilaya watu wanaojitokeza ni mara 2 wa hao wenu chadema, mna kazi ya kusingizia watu wanaosombwa au kuwafuata wasanii lakini hakuna uthibitisho wowote wa watu wanao sombwa na hao wanao wafuata wasanii mbona hawaondoki wakati mheshimiwa akihutubia???
 
Subirini matokeo ya uchaguzi ndo mtajua kama CCM imepoteza ngome zake ama la.
 
Mfano ukikaa maskani ukawa una vimba kwamba umeitongoza manzi fulani na imekukubalia wana watakwambia tuthibitishie, hebu na sisi wana tunasema thibitisha maneno yako hapa tuthibitishie labda kama ushawahi hata kufanya tafiti ilete hapa hiyo tafiti yako tuione. Isije ikawa unavimba hapa kumbe unajipiga mtama mwenyewe tu.
 
Hivi hizi takwimu hua mnazitoa wapiπŸ€”? Kwamba chadema imeshateka Kanda zote, daah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…