Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Unasema dodoma ni ngome ya ccm sababu lissu hajatia guu dodoma. Siku akitia guu ndyo utajua watz kwa pamoja hawataki ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safarii mkiiba lazima tuwaonyeshe kaziSubirini matokeo ya uchaguzi ndo mtajua kama CCM imepoteza ngome zake ama la.
Hata kama ni utani anamuumiza sana yule mama festi ledi yaani hata ukimwangalia yule mama uso hauna nuru anaishi kwenye ulimwengu wa kudharauliwa na kejeli nyingi.Jamaa anataka kuoa Kila Mkoa, Sasa anasema akitoka kwenye kiti Cha enzi anataka kuoa mke Unguja
Hata Dodoma ukiondoa wale wa kulazimishwa hakuna lolote, inapendeza jinsi CDM inavyokubalika kona zote za nchi.CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya kanda ya kaskazini, ikaja Dar-es-Salaam,vkisha Mbeya,vmaeneo ya mijini na kwenye majiji nchi nzima hasa mwaka 2015 na hii 2020 inapoteza kanda karibu zote ambazo zilikuwa ngome yake mfano ni kanda ya kati na kanda ya kusini bila kusahau kanda ya ziwa ambako inafutika kwa kasi zaidi mwaka huu.
Kwa kanda ya kati, mkoa wa Dodoma pekee ndio unaoweza kuibeba CCM na wagombea wake kwa mwaka huu huku ikikabiliwa na hatari ya kukataliwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Singida.
Katika mikoa iliyoko katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini, CCM ndio kabisa inatokomea na huku kote CHADEMA ndio inatawala na ACT ikiwa na nafasi ya kutawala maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma kwa upande wa kanda ya Magharibi.
Kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) nako mambo yanaendelea kuharibika na hii ilianza mwaka 2015 kutokana na issue ya gesi, na sasa issue ya korosho imekuja kuharibu zaidi na kuweka CCM pabaya zaidi.
Ukiacha Dodoma, CCM imebaki na mikoa kama Rukwa, Tabora,Tanga, Pwani na mingineyo michache tena ikiwa na nguvu zaidi vijijini kuliko mijini katika mikoa hii.
Kwa upande wa Zanzibar, huko ndio kabisa wana hali mbaya kuanzia Pemba na sasa hata Unguja.
Kwa kifupi, CCM inaendelea kupoteza ngome zake zote na sasa inaanza kukataliwa hata katika maeneo mengi ya vijijini mfano mzuri ni huko Tarime katika mkoa wa Mara.
Habari ndio hio!
Kwani aliyekwambia waliokufa ni Wachaga tu ni nani? Ukute Wasukuma walikuwepo wengi tuBado unaamini wachaga mumeendelea? Tutamleta Mwamposa athibitishe.
Mikoa ya kijinga ndo IPI wewe?CCM imebaki na vile vimikoa vya Kijinga Jinga tu
Source TBC ( TV TO BENEFIT CCM)Hivi hizi takwimu hua mnazitoa wapi🤔? Kwamba chadema imeshateka Kanda zote, daah 😂😂😂😂.
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
Kwa mkoa wa Rukwa ccm mwaka huu wana hali mbaya kuliko hata singida ..wafipa wamebadilika ile mbaya ..CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya kanda ya kaskazini, ikaja Dar-es-Salaam,vkisha Mbeya,vmaeneo ya mijini na kwenye majiji nchi nzima hasa mwaka 2015 na hii 2020 inapoteza kanda karibu zote ambazo zilikuwa ngome yake mfano ni kanda ya kati na kanda ya kusini bila kusahau kanda ya ziwa ambako inafutika kwa kasi zaidi mwaka huu.
Kwa kanda ya kati, mkoa wa Dodoma pekee ndio unaoweza kuibeba CCM na wagombea wake kwa mwaka huu huku ikikabiliwa na hatari ya kukataliwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Singida.
Katika mikoa iliyoko katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini, CCM ndio kabisa inatokomea na huku kote CHADEMA ndio inatawala na ACT ikiwa na nafasi ya kutawala maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma kwa upande wa kanda ya Magharibi.
Kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) nako mambo yanaendelea kuharibika na hii ilianza mwaka 2015 kutokana na issue ya gesi, na sasa issue ya korosho imekuja kuharibu zaidi na kuweka CCM pabaya zaidi.
Ukiacha Dodoma, CCM imebaki na mikoa kama Rukwa, Tabora,Tanga, Pwani na mingineyo michache tena ikiwa na nguvu zaidi vijijini kuliko mijini katika mikoa hii.
Kwa upande wa Zanzibar, huko ndio kabisa wana hali mbaya kuanzia Pemba na sasa hata Unguja.
Kwa kifupi, CCM inaendelea kupoteza ngome zake zote na sasa inaanza kukataliwa hata katika maeneo mengi ya vijijini mfano mzuri ni huko Tarime katika mkoa wa Mara.
Habari ndio hio!
CCM kama KANU ya Kenya itafia mikononi mwa Mzee baba. Kiburi na ujeuli ni tatizo, jaman kuna maisha baada ya Uraisi.CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya kanda ya kaskazini, ikaja Dar-es-Salaam,vkisha Mbeya,vmaeneo ya mijini na kwenye majiji nchi nzima hasa mwaka 2015 na hii 2020 inapoteza kanda karibu zote ambazo zilikuwa ngome yake mfano ni kanda ya kati na kanda ya kusini bila kusahau kanda ya ziwa ambako inafutika kwa kasi zaidi mwaka huu.
Kwa kanda ya kati, mkoa wa Dodoma pekee ndio unaoweza kuibeba CCM na wagombea wake kwa mwaka huu huku ikikabiliwa na hatari ya kukataliwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Singida.
Katika mikoa iliyoko katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini, CCM ndio kabisa inatokomea na huku kote CHADEMA ndio inatawala na ACT ikiwa na nafasi ya kutawala maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma kwa upande wa kanda ya Magharibi.
Kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) nako mambo yanaendelea kuharibika na hii ilianza mwaka 2015 kutokana na issue ya gesi, na sasa issue ya korosho imekuja kuharibu zaidi na kuweka CCM pabaya zaidi.
Ukiacha Dodoma, CCM imebaki na mikoa kama Rukwa, Tabora,Tanga, Pwani na mingineyo michache tena ikiwa na nguvu zaidi vijijini kuliko mijini katika mikoa hii.
Kwa upande wa Zanzibar, huko ndio kabisa wana hali mbaya kuanzia Pemba na sasa hata Unguja.
Kwa kifupi, CCM inaendelea kupoteza ngome zake zote na sasa inaanza kukataliwa hata katika maeneo mengi ya vijijini mfano mzuri ni huko Tarime katika mkoa wa Mara.
Habari ndio hio!
Kwa wizi wa kuraTanzania nzima ni ngome ya CCM.
Tangu 1995 CCM inaongoza kwa kura nyingi kwenye mikoa yote Tanzania Bara.
Hukumsikia mama Maria Nyerere?Labda mkawakate mikono umati wote huo utakao chagua ccm. Kila mkoa kila wilaya watu wanaojitokeza ni mara 2 wa hao wenu chadema, mna kazi ya kusingizia watu wanaosombwa au kuwafuata wasanii lakini hakuna uthibitisho wowote wa watu wanao sombwa na hao wanao wafuata wasanii mbona hawaondoki wakati mheshimiwa akihutubia???
Waendelee kupata upofu,na kamwee wasiuone ukweli huu,hata pale watakapo angukia pua .Dhulma haijawahi kuwaacha wautendao salama.CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya kanda ya kaskazini, ikaja Dar-es-Salaam,vkisha Mbeya,vmaeneo ya mijini na kwenye majiji nchi nzima hasa mwaka 2015 na hii 2020 inapoteza kanda karibu zote ambazo zilikuwa ngome yake mfano ni kanda ya kati na kanda ya kusini bila kusahau kanda ya ziwa ambako inafutika kwa kasi zaidi mwaka huu.
Kwa kanda ya kati, mkoa wa Dodoma pekee ndio unaoweza kuibeba CCM na wagombea wake kwa mwaka huu huku ikikabiliwa na hatari ya kukataliwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Singida.
Katika mikoa iliyoko katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini, CCM ndio kabisa inatokomea na huku kote CHADEMA ndio inatawala na ACT ikiwa na nafasi ya kutawala maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma kwa upande wa kanda ya Magharibi.
Kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) nako mambo yanaendelea kuharibika na hii ilianza mwaka 2015 kutokana na issue ya gesi, na sasa issue ya korosho imekuja kuharibu zaidi na kuweka CCM pabaya zaidi.
Ukiacha Dodoma, CCM imebaki na mikoa kama Rukwa, Tabora,Tanga, Pwani na mingineyo michache tena ikiwa na nguvu zaidi vijijini kuliko mijini katika mikoa hii.
Kwa upande wa Zanzibar, huko ndio kabisa wana hali mbaya kuanzia Pemba na sasa hata Unguja.
Kwa kifupi, CCM inaendelea kupoteza ngome zake zote na sasa inaanza kukataliwa hata katika maeneo mengi ya vijijini mfano mzuri ni huko Tarime katika mkoa wa Mara.
Habari ndio hio!
Dah! Uzi tayari na watu wana like!CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya kanda ya kaskazini, ikaja Dar-es-Salaam,vkisha Mbeya,vmaeneo ya mijini na kwenye majiji nchi nzima hasa mwaka 2015 na hii 2020 inapoteza kanda karibu zote ambazo zilikuwa ngome yake mfano ni kanda ya kati na kanda ya kusini bila kusahau kanda ya ziwa ambako inafutika kwa kasi zaidi mwaka huu.
Kwa kanda ya kati, mkoa wa Dodoma pekee ndio unaoweza kuibeba CCM na wagombea wake kwa mwaka huu huku ikikabiliwa na hatari ya kukataliwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Singida.
Katika mikoa iliyoko katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini, CCM ndio kabisa inatokomea na huku kote CHADEMA ndio inatawala na ACT ikiwa na nafasi ya kutawala maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma kwa upande wa kanda ya Magharibi.
Kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) nako mambo yanaendelea kuharibika na hii ilianza mwaka 2015 kutokana na issue ya gesi, na sasa issue ya korosho imekuja kuharibu zaidi na kuweka CCM pabaya zaidi.
Ukiacha Dodoma, CCM imebaki na mikoa kama Rukwa, Tabora,Tanga, Pwani na mingineyo michache tena ikiwa na nguvu zaidi vijijini kuliko mijini katika mikoa hii.
Kwa upande wa Zanzibar, huko ndio kabisa wana hali mbaya kuanzia Pemba na sasa hata Unguja.
Kwa kifupi, CCM inaendelea kupoteza ngome zake zote na sasa inaanza kukataliwa hata katika maeneo mengi ya vijijini mfano mzuri ni huko Tarime katika mkoa wa Mara.
Habari ndio hio!
Hii ni Tanga leo hii.Kuna kazi nyingi sana zitajitokeza baada ya uchaguzi 28/10/20
Maana ushindi wa CCM utatikisa hadi huko uliko.
We kaa chonjo.
Hii ni Tanga leo hii.
Labda kwa msaada wa dola na tume ila sio vinginevyo.,Baada ya 28 October, ndio utaelewa kwamba, kumbe, bado IPO safari ndeefu Sana kuamini Hiki ulichoandika mkuu
October 28 is only next week, after which JPM will be sworn ama Dodoma ama Dar, na hakuna wa kumzuia na njia ni nyeupe tangu siku ya Kwanza ya kampeni
Magu kavamia fani, hakustahili kuwa mwanasiasa.