Uchaguzi 2020 CCM imebaki na mkoa wa Dodoma tu kama ngome yake huku ikiwa imepoteza kanda zote

Jamaa anataka kuoa Kila Mkoa, Sasa anasema akitoka kwenye kiti Cha enzi anataka kuoa mke Unguja
Hata kama ni utani anamuumiza sana yule mama festi ledi yaani hata ukimwangalia yule mama uso hauna nuru anaishi kwenye ulimwengu wa kudharauliwa na kejeli nyingi.
 
Hata
Hata Dodoma ukiondoa wale wa kulazimishwa hakuna lolote, inapendeza jinsi CDM inavyokubalika kona zote za nchi.
 
CCM bila ujanjaujanja ni wepesi kuliko pamba.Tume imeanza kuwabeba mapema Sana ikijua mmekabwa Koo tayari!
 
Kwa mkoa wa Rukwa ccm mwaka huu wana hali mbaya kuliko hata singida ..wafipa wamebadilika ile mbaya ..
 
CCM kama KANU ya Kenya itafia mikononi mwa Mzee baba. Kiburi na ujeuli ni tatizo, jaman kuna maisha baada ya Uraisi.
 
Hukumsikia mama Maria Nyerere?
 
Waendelee kupata upofu,na kamwee wasiuone ukweli huu,hata pale watakapo angukia pua .Dhulma haijawahi kuwaacha wautendao salama.
 
Dah! Uzi tayari na watu wana like!
 
Hii ni Tanga leo hii.

,Baada ya 28 October, ndio utaelewa kwamba, kumbe, bado IPO safari ndeefu Sana kuamini Hiki ulichoandika mkuu

October 28 is only next week, after which JPM will be sworn ama Dodoma ama Dar, na hakuna wa kumzuia na njia ni nyeupe tangu siku ya Kwanza ya kampeni
 
Labda kwa msaada wa dola na tume ila sio vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…