Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Wazee wa CCM ni kama kundi la wachekeshaji. Yule mwingine anajilinganisha na Trump na kila kukicha lazima atoe maneno yanayoleta mshangao kwa watu.
Huyu mwingine wakati nchi ipo kwenye sintofahamu analeta stori ya debe la Kahawa na Mnywa gongo.
Labda mnywa gongo kuna wakati anajua wazee wa kijiwe wanazuga kuweka debe la Kahawa wakati kumbe wanapiga gongo.
Mnywa gongo asingesema kuwa ni "mwenzao" kama hakuwahi kuhudhuria kijiwe na kunywa kilichomo kwenye debe.
Hii ni ishara kuwa tusiwategemee wazee wa CCM kututoa kwenye huu mkwamo. Badala ya kutanzua, wao ndiyo kwanza wanatatiza!