Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
JK: na Mimi ndio nilikuwa naanua jamviKwenye mkeka...
Ndiyo Saigon?
Kawapiga dongo wazee wa kijiwe kuwa walikuwa hawana kitu...ππππJK: na Mimi ndio nilikuwa naanua jamvi
ππ
Waruhusu tulime bangi basiWazee wa CCM ni kama kundi la wachekeshaji. Yule mwingine anajilinganisha na Trump na kila kukicha lazima atoe maneno yanayoleta mshangao kwa watu.
Huyu mwingine wakati nchi ipo kwenye sintofahamu analeta stori ya debe la Kahawa na Mnywa gongo.
Labda mnywa gongo kuna wakati anajua wazee wa kijiwe wanazuga kuweka debe la Kahawa wakati kumbe wanapiga gongo.
Mnywa gongo asingesema kuwa ni "mwenzao" kama hakuwahi kuhudhuria kijiwe na kunywa kilichomo kwenye debe.
Hii ni ishara kuwa tusiwategemee wazee wa CCM kututoa kwenye huu mkwamo. Badala ya kutanzua, wao ndiyo kwanza wanatatiza!
Labda Prof George Wajackoyah awe Rais Kenya.Waruhusu tulime bangi basi
Wazee wa CCM ni kama kundi la wachekeshaji. Yule mwingine anajilinganisha na Trump na kila kukicha lazima atoe maneno yanayoleta mshangao kwa watu.