CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
- Thread starter
- #41
Ndio kazi yako,takwimu zinaonesha hivyo kwa muktadha wa observation, na ccm tuko wengi,hivyo endelea kumpigia magoti Mwakajoka hamna shida,wacha mabwege tuendelee kujipanga tuwapige mabao kwenye uchaguzi.Endelea kuwadanganya mabwege wenzio