CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
- Thread starter
-
- #41
Ndio kazi yako,takwimu zinaonesha hivyo kwa muktadha wa observation, na ccm tuko wengi,hivyo endelea kumpigia magoti Mwakajoka hamna shida,wacha mabwege tuendelee kujipanga tuwapige mabao kwenye uchaguzi.Endelea kuwadanganya mabwege wenzio
Ninakuja muda si mrefu kwenye hamasa ya siasa,nasikia mnataka Kumpa Ubunge Alex Kisurura aliyekuwa Meya wa Chadema hapo 2015? Ni kweli?Karibu Kigera.... 😀
Matusi sasa yanini dogooo,halafu unasingizia wenzio🙄Ukimuona Lema na Masese yule nadhani unaona kabisa bangi imewazidi,chama Chao kila mtu kambale .
Tusi liko wapi mkubwa?Matusi sasa yanini dogooo,halafu unasingizia wenzio🙄
Wenz,ako kuwaita wala nyasi unaona rahisi rahisituTusi liko wapi mkubwa?
Ni jina wanalikubali kabisa,mfatilie TwahaWenz,ako kuwaita wala nyasi unaona rahisi rahisitu
Kuiba kura gani?Si ndiyo tunashangaa ikifika wakati wa Uchaguzi chama kina haha kuiba kura!