CCM imefungamanishwa na DOLA ndio sababu haikusajiliwa 1992, Waziri aliyesema haiwezekani kuitoa CCM madarakani yuko sahihi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa

Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%

CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk

Ni vema tukaukubali ukweli

Ahsanteni Sana 😂
Imefungamanishwa under sheria zipi? Utaratibu upi wa nchi?
 
Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM

Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM

Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani

Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya

Nk.....nk 😂😂😂🔥
 
Hamna utaratibu wa hao watu nchi hii, kuna katiba na sheria, sheria hipi na kifungu kipi cha katiba kimeruhusu hivyo?
 
Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa

Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%

CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk

Ni vema tukaukubali ukweli

Soma Pia: Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

Ahsanteni Sana 😂
It is man made, no miracles; itatoka tu!!!
 
Nini kifanyike?
 
CCM imesajiliwa kwa mujibu wa sheria (by operation of the law), kwa kuwa tayari kilikuwepo, hizo strori zako za kuku na yai ni mere academic exercise. Kama CCM kingetakiwa kisajiliwe, nchi ingekuwa chini ya nani wakati kinasubiri kusajiliwa?!

CCM ni watanzania, na watanzania ni CCM, hafuwezi kukaribisha baba au mama wa kambo wakati mzazi (CCM) yupo, na anadunda
 
Kila uchao ninaandika maneno haya..."CCM ni IMANI".

Wapi huko imani inasajiliwa ?!!

Ithibati ya usajili hutolewa kwa misikiti na makanisa tu na si IMANI....

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM

Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM

Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani

Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya

Nk.....nk 😂😂😂🔥
Tatizo ni fikra zinazozalisha matendo maovu (watu binafsi zaidi).
Katiba ya CCM haikubali, dhuluma, upendeleo, rushwa au utekaji na uonevu kwa mtanzania yeyote.
Vivyo hivyo katiba ya nchi.
Hata hivyo, watu waovu wanapopata dhamana ya uongozi (hapa siyo Rais pekee, ni kuanzia mjumbe wa nyumba kumi) hutumia nafasi hizo kuendeleza uovu wao wakitumia maficho ya kichaka cha chama na serikali.
Kwa bahati mbaya, nyakati hizi, uongozi hutafutwa kwa uovu wa wazi zaidi kuliko utu wema na jamii kuona sawa tu.
 
Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM

Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM

Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani

Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya

Nk.....nk 😂😂😂🔥
Hivi wewe ni Mnyalu gani? kichwa chako kimejaa ugimbi?
Biden ni Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuwa Mwenyekiti wa Dem
Speaker Johnson ni hivyo hivyo
Wale Majimboni ndiyo wakuu wa kamati za ulinzi
Tanzania ilikopy tu ---- nyie wapuuzi ndiyo mnawadanganya walalahoi - uongo -

Time is coming; the days are numbered
 
Biden Biden ...

Johnson Johnson ..

Mbona ni mafano isiyoendana na maisha yetu...[emoji44][emoji1787]
 
CCM imesajiliwa kwa mujibu wa sheria (by operation of the law), kwa kuwa tayari kilikuwepo, hizo strori zako za kuku na yai ni mere academic exercise. Kama CCM kingetakiwa kisajiliwe, nchi ingekuwa chini ya nani wakati kinasubiri kusajiliwa?!

CCM ni watanzania, na watanzania ni CCM, hafuwezi kukaribisha baba au mama wa kambo wakati mzazi (CCM) yupo, na anadunda
Kinasubiri kusajiliwa na nani? 🐼
 
Back
Top Bottom