CCM imefungamanishwa na DOLA ndio sababu haikusajiliwa 1992, Waziri aliyesema haiwezekani kuitoa CCM madarakani yuko sahihi!

CCM imefungamanishwa na DOLA ndio sababu haikusajiliwa 1992, Waziri aliyesema haiwezekani kuitoa CCM madarakani yuko sahihi!

Kwa vile CCM wamefunga milango ya kuweza kuwa na uchaguzi huru na haki ni mapinduzi ya kijeshi pekee au machafuko yataiondoa madarakani.
 
Dkt Bashiru alishasema itakua ni ujinga kuwa na dola na kushindwa kuitumia iyo dola kubaki madarakan 😀
 
CCM imesajiliwa kwa mujibu wa sheria (by operation of the law), kwa kuwa tayari kilikuwepo, hizo strori zako za kuku na yai ni mere academic exercise. Kama CCM kingetakiwa kisajiliwe, nchi ingekuwa chini ya nani wakati kinasubiri kusajiliwa?!

CCM ni watanzania, na watanzania ni CCM, hafuwezi kukaribisha baba au mama wa kambo wakati mzazi (CCM) yupo, na anadunda

..Nchi ingekuwa chini ya serikali ya mpito ambayo ingeratibu usajili wa vyama vipya vya siasa, na kuandaa uchaguzi mkuu.
 
Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa

Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%

CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk

Ni vema tukaukubali ukweli

Soma Pia: Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

Ahsanteni Sana 😂
Sasa Kwa miaka yote kiliyokaa kwenye utawala ulitegemea kingekua tofauti na haya mawazo yako mkuu? Ingekua ni ajabu sana.
 
Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM

Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM

Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani

Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya

Nk.....nk 😂😂😂🔥
Ufafanuzi mzuri
 
Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa

Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%

CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk

Ni vema tukaukubali ukweli

Soma Pia: Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

Ahsanteni Sana 😂
Hata KANU walikuwa hivyo. Walioko huko ulikotaja nao hawaitaki ccm
 
Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa

Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%

CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk

Ni vema tukaukubali ukweli

Soma Pia: Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

Ahsanteni Sana 😂
Shukran Yohanambatizaji. Hatimaye UMESEMA!

Huu ndio ukweli ambao Watanzania wote wanatakiwa kuujua: CCM=SERIKALI AKA DOLA; CCM=STATE PARTY (CHAMA DOLA). Unaitoaje madarakani dola yenye vifaru, mizinga na vikorombwezo vyote? Kwa vikaratasi? Kwa kelele majukwaani na mitandaoni?

Kifupi, dhana ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa (multiparty democracy) HAIPO. Kilichopo ni ulaghai.

Yaani CHADEMA na vyama vingine vya upinzani vinashindana na DOLA kwenye majukwaa ya siasa! Huo ni ubatili: FALLACY. Ndio maana kila siku wanaitwa WASALITI aka vibaraka wa mabeberu.

Vyombo vya dola (incl. polisi) haviwezi kumuelewa mtu anayempinga au kumkosoa amiri jeshi mkuu hadharani kwa kisingizio cha kufanya siasa! Wanaona ni uhaini na utovu wa nidhamu usiovumilika!

Usipokubaliana na ukweli huu wameshatoa ushauri: Hamia Burundi au ingia mwenyewe porini tukutane huko! 😳
 
Back
Top Bottom