johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Imefungamanishwa under sheria zipi? Utaratibu upi wa nchi?Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa
Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%
CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk
Ni vema tukaukubali ukweli
Ahsanteni Sana π
Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCMImefungamanishwa under sheria zipi? Utaratibu upi wa nchi?
Hamna utaratibu wa hao watu nchi hii, kuna katiba na sheria, sheria hipi na kifungu kipi cha katiba kimeruhusu hivyo?Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM
Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani
Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya
Nk.....nk ππππ₯
Katiba ya JMT na ile ya CCM ZOTE ziliundwa 1977 na Watu wale wale so zinafanana Mno πππHamna utaratibu wa hao watu nchi hii, kuna katiba na sheria, sheria hipi na kifungu kipi cha katiba kimeruhusu hivyo?
It is man made, no miracles; itatoka tu!!!Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa
Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%
CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk
Ni vema tukaukubali ukweli
Soma Pia: Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania
Ahsanteni Sana π
Nini kifanyike?Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa
Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%
CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk
Ni vema tukaukubali ukweli
Soma Pia: Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania
Ahsanteni Sana π
Katiba Mpya πNini kifanyike?
nani anatoa hiyo permit?Katiba Mpya π
Tatizo ni fikra zinazozalisha matendo maovu (watu binafsi zaidi).Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM
Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani
Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya
Nk.....nk ππππ₯
Hivi wewe ni Mnyalu gani? kichwa chako kimejaa ugimbi?Utaratibu wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwenyekiti wa CCM
Spika wa Bunge la JMT kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoani
Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya
Nk.....nk ππππ₯
Biden Biden ...Hivi wewe ni Mnyalu gani? kichwa chako kimejaa ugimbi?
Biden ni Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuwa Mwenyekiti wa Dem
Speaker Johnson ni hivyo hivyo
Wale Majimboni ndiyo wakuu wa kamati za ulinzi
Tanzania ilikopy tu ---- nyie wapuuzi ndiyo mnawadanganya walalahoi - uongo -
Time is coming; the days are numbered
Machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili kuitoa ccmNini kifanyike?
Utauvunja msikiti na kanisa ila si IMANI...It is man made, no miracles; itatoka tu!!!
"Imani" iko mpaka huko jeshini....Machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili kuitoa ccm
Kinasubiri kusajiliwa na nani? πΌCCM imesajiliwa kwa mujibu wa sheria (by operation of the law), kwa kuwa tayari kilikuwepo, hizo strori zako za kuku na yai ni mere academic exercise. Kama CCM kingetakiwa kisajiliwe, nchi ingekuwa chini ya nani wakati kinasubiri kusajiliwa?!
CCM ni watanzania, na watanzania ni CCM, hafuwezi kukaribisha baba au mama wa kambo wakati mzazi (CCM) yupo, na anadunda
Kwani iko kwa wanajeshi wote?"Imani" iko mpaka huko jeshini....
Jidanganye
wananchi wapo tayari? πMachafuko au mapinduzi ya kijeshi ili kuitoa ccm