hapo kwenye kupata maarifa kama taifa inabidi tuchague lugha rasmi ya kutoka nayo kindergarten mpaka chuo kikuu/vyuo vya kati. mambo ya kuchanganya lugha yanakwamisha vijana kujifunza maarifa kwa usahihi.Kingereza ni lugha ya mawasiliano TU kama lugha nyingine TU kikubwa ni kupata maarifa kln pia watanzania walio wengi wanauwezo mkubwa wa kuandika kuliko kuzungumza lugha ya kingereza
English medium unazijua huzijui ? Nenda kakutane na watoto wa msingi uone wanavyozunguza kingereza kilichonyookaNdio maana nasemaga ni upuuzi mtupu kujistress kulipia mamilioni shule ya English Medium ili mtoto akafundishwe kiingereza kwa kiswahili na walimu ambao lugha yao ya mawasiliano sio kiingereza halafu mtoto akirudi nyumbani anaongea na wazazi na marafiki kwa kiswahili
Kiswahili kinakufungia ndani ya nchi kingereza kinakufungua kimataifa uchaguzi wa mzazi anataka mtoto wake awejehapo kwenye kupata maarifa kama taifa inabidi tuchague lugha rasmi ya kutoka nayo kindergarten mpaka chuo kikuu/vyuo vya kati. mambo ya kuchanganya lugha yanakwamisha vijana kujifunza maarifa kwa usahihi.
Ndiyo maana majangili ya CCM yanasomesha njeModerator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa.
Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na wasomi wa nchi nyingine linakuja suala la udhaifu wa wasomi wetu kutokuwa na weledi wa matumizi ya lugha ya kiingereza?
Hivi Elimu yetu ni duni ama wasomi wetu ni weledi ila hawajui lugha ya kiingereza kwa ufasaha?
Kama hawajui kiingereza kwa ufasaha imekuwaje walifaulu mitihani yao kwa kiwango cha juu?
Yaani lugha inayotumiwa kujifunzia kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita (miaka 6) na vyuoni (miaka 3 - 4 au miaka 7) wasomi wetu inakuwaje hawana weledi nayo?
Kuna sehemu CCM wameharibu Elimu yetu ila wanasingizia kiingereza.
Lisu pia anadomesha na.alisema hawezi somesha wanawe Tanzania nsue jangili?Ndiyo maana majangili ya CCM yanasomesha nje
Hawa siyo watumishi wa umma wala chama cha majizi ya CCM, wao wanasomesha kwa pesa halali zao, hata mimi mtoto wangu atakuja kusoma nchiLisu pia anadomesha na.alisema hawezi somesha wanawe Tanzania nsue fisadi?
Mbowe pia anadomesha nje wanae naye fisadi?
UmetishaPelekeni watoto English Medium kumaliza hizo kelele za ooh anasoma miaka 10 hajui kingereza
Hilo tatizo kwa watoto waliosoma English medium Primary halipo
Wazazi jiongezeni .Waliosoma English medium mbona wako vizuri mno kwenye kingereza
CCM wameruhusu English Medium ili wazazi wenyewe waakue wanataka watoto wao wasome swahili medium au English Medium huo ni uamuzi wa mzazi sio CCM
Ruzuku pesa zao wapi?Hawa siyo watumishi wa umma wala chama cha majizi ya CCM, wao wanasomesha kwa pesa halali zao, hata mimi mtoto wangu atakuja kusoma nchi
Kwanini na mumeo asianzishe chama awe anapata ruzuku?Ruzuku pesa zao wapi?
Kuna mahali elimu yetu haina lengo tunataka mhitimu awe knowledge Gani,.mf nilikuwa na dogo mmoja wiki end hii,ni form v na anachukua combination ya "HKL"nikataka kujua list ya vitabu vyaa kiswahili au kingereza anavyotarajia kuvisoma hakuwa nayo na Wala hajasoma hata kimoja,nikakumbuka miaka yetu enzi za Nyerere historia form III tulisoma mambo ya Warsaw Pact,NATO, Non- alignment,OAU,Vita baridi,Vita ya I ya Dunia na ya Ii,Mambo ya Nyerere,Nkurumah,Nasar,colonialism,wizi na jinzi Africa ilivonyimwa maendeleo nikashangaa dogo huyo alikuwa "totally flabagasted",masikini hajawahi kukutana na hayo,Sasa nafikiria dogo ni kilaza?au wanajifunza nini enzi hizi!100% Fact
wewe ni kichaa kabisa period.English medium unazijua huzijui ? Nenda kakutane na watoto wa msingi uone wanavyozunguza kingereza kilichonyooka
Kenya hapo lugha ya nyumbani kiswahili kama sisi lakini shule zao zote za Msingi ni English medium Kenya mbona kwao sio issue kingereza
Hata sisi lugha ya nyumbani kiswahili mtoto akitoka shule kama yule wa Kenya anakutana na kiswahili mbona wanamudu kingereza vizuri tu
Labda wewe hujafika Kenya lugha ya nyumbani kiswahili shule ndio kingereza na wako fit.Sababu muda mwingi wa siku watoto wanakuwa shule environment ya kingereza kitupu .Nyumbani wanakuwa na muda kidogo sana ndio maana wana master kingereza upesi
Tofauti na shule ya kayumba siku nzima shule ntoto anasoma kiswahili tu na nyumbani hapo unazalisha mtoto mswahili hasa kingereza kwake itakuwa mtihani mzito kukimudu.
Hao uliowataja wantumia Kingereza Pia kufundisha? Usejekuwa wajifariji Bure.Kuongea kingereza siyo usomi china , Japan, Russia hawaongei kingereza ila wanamchango mkubwa kwenye Technology servicescape
Hadi hapa Umeshakiri kuwa kingereza siyo muhimuHao uliowataja wantumia Kingereza Pia kufundisha? Usejekuwa wajifariji Bure.
Embu na wewe weka video ukiongea na kuzungumza Kizungu.
Jifariji tuwewe ni kichaa kabisa period.
Watakwambia elimu haipmwa kwa lugha huku watoto wao wanawapeleka nje kusomaModerator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa.
Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na wasomi wa nchi nyingine linakuja suala la udhaifu wa wasomi wetu kutokuwa na weledi wa matumizi ya lugha ya kiingereza?
Hivi Elimu yetu ni duni ama wasomi wetu ni weledi ila hawajui lugha ya kiingereza kwa ufasaha?
Kama hawajui kiingereza kwa ufasaha imekuwaje walifaulu mitihani yao kwa kiwango cha juu?
Yaani lugha inayotumiwa kujifunzia kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita (miaka 6) na vyuoni (miaka 3 - 4 au miaka 7) wasomi wetu inakuwaje hawana weledi nayo?
Kuna sehemu CCM wameharibu Elimu yetu ila wanasingizia kiingereza.