Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
Happy new year 2020 to y'all members of JF
Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati
Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa katika hali hii ya umasikini kuelekea uchumi wa kati, tangu uhuru tuko nao pasi na mabadiliko yoyote
Sera zao tulizoahidiwa 2015 hazijatekelezwa zaidi ni kununua ndege tu
Kwa CCM hii ilivyojichokea, muda rasmi kwa upinzani kuchukua nchi na ccm kiwe chama cha upinzani
Je upinzani kimejipanga?
Hapa ndio tatizo linapoibuka, wapinzani hawajajipanga kwa nafasi ya urais
yaani wapo tu bora liende, wapate wabunge kadhaa wapige ruzuku maisha yaebdelee na si kuwin general election na kuunda serikali itakayoleta maendeleo kwa wananchi
Ni nani atasimamishwa na chadema au ACT kuweza kuiondoa hii ccm iliyochoka?
Upinzani haujajiandaa, msije mkarudia makosa ya 2015 kuchukua makapi yaliyokatwa huko ccm
Mjipange mtuletee contestant mwenye vigezo, watanzania tumemchoka jiwe tutamwangusha washindwe hata kuiba. tatizo ni ninyi tu maandalizi yenu hayaeleweki
sijui hamko teyari kuchukua nchi?
Tafadhali unaposema watanzania tumechoka usinichanganye na mimi! Pia unaposema serikali haijafanya chochote zaidi ya kununua ndege, usisahau kuwaambia na hospital za wilaya zimejengwa kila kona ya nchi, kumbuka wanafunzi walio maliza kidato cha nne mwaka Jana wamesoma bureHappy new year 2020 to y'all members of JF
Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati
Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa katika hali hii ya umasikini kuelekea uchumi wa kati, tangu uhuru tuko nao pasi na mabadiliko yoyote
Sera zao tulizoahidiwa 2015 hazijatekelezwa zaidi ni kununua ndege tu
Kwa CCM hii ilivyojichokea, muda rasmi kwa upinzani kuchukua nchi na ccm kiwe chama cha upinzani
Je upinzani kimejipanga?
Hapa ndio tatizo linapoibuka, wapinzani hawajajipanga kwa nafasi ya urais
yaani wapo tu bora liende, wapate wabunge kadhaa wapige ruzuku maisha yaebdelee na si kuwin general election na kuunda serikali itakayoleta maendeleo kwa wananchi
Ni nani atasimamishwa na chadema au ACT kuweza kuiondoa hii ccm iliyochoka?
Upinzani haujajiandaa, msije mkarudia makosa ya 2015 kuchukua makapi yaliyokatwa huko ccm
Mjipange mtuletee contestant mwenye vigezo, watanzania tumemchoka jiwe tutamwangusha washindwe hata kuiba. tatizo ni ninyi tu maandalizi yenu hayaeleweki
sijui hamko teyari kuchukua nchi?
Labda mimi sikumuelewa, lakini mleta mada ametoa ushauiri upinzani utupatie sasa jina la aliyeandaliwa kupambana na Magufuli 2020 na usijaribu kurudia makosa ya 2015 kusubiri mtu toka CCM.Mkuu hongera kwa uzi wako, nilitarajia kwenye huko kujipanga kwa wapinzani ungesema wafanye 1, 2, 3 ili waweze kukamata dola. Lakini kuja na tuhuma jumla jumla huku hatuoni hizo tuhuma zako msingi wake, tunaona ni kama kuedit maoni ya wanaccm wanaohadaa umma kuwa ccm haina mshindani na ni imara.
Labda mimi sikumuelewa, lakini mleta mada ametoa ushauiri upinzani utupatie sasa jina la aliyeandaliwa kupambana na Magufuli 2020 na usijaribu kurudia makosa ya 2015 kusubiri mtu toka CCM.